eugeneamani01
Member
- Feb 17, 2017
- 31
- 21
Mimi ni mchambuzi wa soka wa kimataifa na pia ni mfadhili wa Simba , nimekwisha sema ubishi wako unaelekea kwisha , endelea kubaki hapahapa Jf .
Usha chemka hapoUshindani unaozungumzia ni wa nani na nani?kukamiana kwa timu za england hakufanyi ligi yao kuwa bora
Na Tottenham ambayo ipo top 3 epl Imetolewa na team inayoshika nafasi ya 8 ligi ya Belgium.VILLAREAL OUT
ATHLETC BILBAO OUT
EUROPA LEAGUE TUNAENDELEAA
Hii ni sawa na baba kujisifu tajiri duniani kwa kujilinganisha na mke na watoto wake. Inawezekana wakawa na ushindani lakini umejaribu kuangalia kwa level ipi? Ushindani wa EPL upo ila Quality ya timu ni mbovu na hii ndio sababu hawawezi kubweka nje ya Uingereza. EPL is competitive kwenye kiwango cha chini.. Real Madrid na Baca are giant sio kwa Laliga pekee bali duniani.apo ndo kuna ushindanii ukiona hata timuu isiyodhaniwaa kuchukua ubingwaa ikachukuaa hebuu fungukaa mkuu ukiona hivoo hio sio ligi ya timuu kadhaa ni ya wote kwa maana bingwaaa hajulikanii sio kamaa Spain bingwaa mnajua kabisaaa aspokua real Madrid basii ni watoto wa catulunya kama sio hao ni atletico Madrid over asa epl haitabirikii hio ndo fact ya kua EPL ni ligii yenyee ushindanii ndanii yakeee
Tafiti hupingwa kwa tafiti , hazipingwi kwa mapovu .Toka nijiunge jamiiforum natimiza mwaka ila leo uyu jamaa aliye to a mada na mwambia kafeli uzi ni was kipumbavu kwel anajiita mcgambuzi haend kwa fact naona utumbo tu
Ni kweli perfomance ya klabu za Spain kwenye michuano ya Ulaya msimu huu imeshuka.Barca,Real Madrid na Atletico hawako kwenye kiwango walichokuwa nacho misimu 4 iliyopitaVILLAREAL OUT
ATHLETC BILBAO OUT
EUROPA LEAGUE TUNAENDELEAA
Tunaongelea 2017 sio 2006 msimu huu kiwango cha timu za LaLiga kwenye michuano ya Ulaya kimeshukaTuanze hapa kuanzia 2006 mpaka 2016 champion league imeeenda mara ngapi Spain, England nk na kuanzia 2006 mpaka 2016 europa league limeenda wapi mara nyingi
" Kwa muda mrefu sana wapenda soka wa duniaTunaongelea 2017 sio 2006 msimu huu kiwango cha timu za LaLiga kwenye michuano ya Ulaya kimeshuka
Kwanini unafananisha la liga na epl ?" Kwa muda mrefu sana wapenda soka wa dunia
wamedanganywa kwamba ligi ya Spain ndio ligi
bora na ngumu kuliko ligi zote duniani"
Umeona hiyo kauli mkuu haya inamaanisha nini?
Unazani kuanzia hiyo 2006_16 Epl limeenda mara mbili na jiulize Spanish limeenda mara ngapi? Katika miaka hiyo Pia Europe league English limeenda sio zaid ya mara Tatu na Spain limeenda mara nyingi
Kati ya Epl na la Liga wapi kuna timu nyingi champions League?
Kufungwa kwa Barcelona msiseme kwamba hakuna kitu tena usijeukapata mshituko akimtoa uyo psg
Mafanikio ya Champions league ni cycle ambayo huwa inazunguka nchi mbalimbali kulikuwa na cycle ya Italy ikapotea,ikaja cycle ya England ikapotea,ikaja cycle ya Germany ikapotea ,ikaja cycle ya Spain nayo imeanza kupotea now.Miaka michache iliyopita timu za Spain (kuanzia timu ya taifa na klabu zao,Uropa na Champions league)zilikuwa zinafanya vizuri kwenye michuano ya ulaya lakini mwaka huu perfomance imeanza kushuka,tatizo sio kufungwa tu kwa Barca lakini ni kiwango kinachoonyeshwa na klabu zake msimu huu huwezi linganisha na miaka 4 iliyopita" Kwa muda mrefu sana wapenda soka wa dunia
wamedanganywa kwamba ligi ya Spain ndio ligi
bora na ngumu kuliko ligi zote duniani"
Umeona hiyo kauli mkuu haya inamaanisha nini?
Unazani kuanzia hiyo 2006_16 Epl limeenda mara mbili na jiulize Spanish limeenda mara ngapi? Katika miaka hiyo Pia Europe league English limeenda sio zaid ya mara Tatu na Spain limeenda mara nyingi
Kati ya Epl na la Liga wapi kuna timu nyingi champions League?
Kufungwa kwa Barcelona msiseme kwamba hakuna kitu tena usijeukapata mshituko akimtoa uyo psg
Duniani ligi ambayo haionyeshwi bure ni Epl maana Bundesliga tunaona bure startimes pamoja na Italy series AKwanini unafananisha la liga na epl ?
Cycle gani mkuu unaongelea maana kuanzia mwaka 1999/2000 timu za Spain zimetwaa mara 8 taji la Uefa huku uingereza mara 3 na ureno Italy na ujeruman sasa jiulize iyo cycle unayoisema ni ipi mkuu?Mafanikio ya Champions league ni cycle ambayo huwa inazunguka nchi mbalimbali kulikuwa na cycle ya Italy ikapotea,ikaja cycle ya England ikapotea,ikaja cycle ya Germany ikapotea ,ikaja cycle ya Spain nayo imeanza kupotea now.Miaka michache iliyopita timu za Spain (kuanzia timu ya taifa na klabu zao,Uropa na Champions league)zilikuwa zinafanya vizuri kwenye michuano ya ulaya lakini mwaka huu perfomance imeanza kushuka,tatizo sio kufungwa tu kwa Barca lakini ni kiwango kinachoonyeshwa na klabu zake msimu huu huwezi linganisha na miaka 4 iliyopita
Cycle ya mafanikio hutokea kipindi ambacho timu za nchi moja zinachukua zinacheza fainali zenyewe au timu kutoka nchi moja zinachukua ubingwa/kucheza fainali misimu 2 ndani ya miaka 3,Cycle gani mkuu unaongelea maana kuanzia mwaka 1999/2000 timu za Spain zimetwaa mara 8 taji la Uefa huku uingereza mara 3 na ureno Italy na ujeruman sasa jiulize iyo cycle unayoisema ni ipi mkuu?