Ubutu wa Primera Liga waanza kuthibitika

Ubutu wa Primera Liga waanza kuthibitika

EPL ina ushindani gani wakati hadi ka Leicester kamekua bingwa, yani eti mchovu wa kushuka daraja anakua bingwa.......ubora wenu uleteni UEFA au Europa basi tuuone
Watu wengine bana,si mkashabikie michezo mingine yaani mnatia hasira sana.Ndo maana tunasema ligi yenye ushindani yaani timu yoyote inaweza kuwa bingwa!ndio ushindani mkuu!Sasa ligi yenye timu mbili ambazo zinacompete kila mwaka isipokuwa hii utajua lazima iwe ile.Sikatai Spain ni ligi yenye timu bora lkn si ligi yenye ushindani.Ndo maana hata kwenye mikeka Km Barca anacheza na Betis utakuta Barca kapewa 1.01 na Betis 17 odds,wakati Uk Man anapewa 1.5 Hull anapewa 5.Sijui umenielewa?
 
Ushindani gani wakati hata vitimu vidogo vinakua bingwa, sasa subiri uone jinsi bingwa wenu Leicester uone anavochinjwa na Sevilla nyambafu
 
Tafadhali nakuomba sana kwenye list ya timu zako kubwa ondoa Arsenal na Chelsea au unipe vigezo unavyozingatia kuita hizo timu timu kubwa labda ntakuelewa.
Chelsea ibaki , ondoa Arsenal .
 
Kama haujui kaka ,ligi ya england ni ligi maarufu na lig ya spain ni ligi boraa

Nikupe mtihani kidogo. Katika ligi ya england wakae kikao timu zote 20 na waseme katika sisi timu 20 tuchague club bora kati ya hizo 20 na ikacheze na barcelona au real madrid timu gan yenye uhakika england itaaminiwa kwa ubora zaid
Naomba uchague mwenyewe timu Yako kati ya Madrid au wazee WA 4g fifalona/blutterlona, uchague na uwanja WA huko kwenu utuite Chelsea tuje tuwanyooshe!
 
  • Thanks
Reactions: PNC
EPL ina ushindani gani wakati hadi ka Leicester kamekua bingwa, yani eti mchovu wa kushuka daraja anakua bingwa.......ubora wenu uleteni UEFA au Europa basi tuuone
Mpaka sasa Leicester city anaelekea kushuka daraja lakini UEFA ameongoza kundi kwa point nyingi sana, huo ndio ubora na ukali wenyewe WA EPL!
 
Naomba uchague mwenyewe timu Yako kati ya Madrid au wazee WA 4g fifalona/blutterlona, uchague na uwanja WA huko kwenu utuite Chelsea tuje tuwanyooshe!
Duhh kujiamin kwako hivyo bora ungekuwa upo uefa
 
we mwenyeo utakuwa kilaza. PSG timu kubwa kakwambia nani? kwa sababu ya mapesa ndio unasema timu kubwa? basi kama ni ivo china sasa kuna timu kubwa basi nako. Timu kubwa inapimwa kwa mafanikio sio pesa zao. mimi ni mhasimu wa arsenal lakini huwezi kufanananisha PSG na Arsenal wewe. Arsenal ipo juu ya PSG sana tu. Yaani fluke ya kumfunga barca izo nne ndio PSG ishakuwa timu kubwa? Duh! Yaani zinapotajwa timu kubwa duniani ni hizi Barca, Real Madrid, Manutd, Chelsea, Arsenal, Liverpool..... ata man city haimo! PSG is looking for attention kama zilivo timu za china na USA, bahati mbaya hawaipati.... mana outside UEFA no one wastes their time with french teams!
Mkuu kwel ww mwenda kuzim..psg. Unalinganisha na arsenal...? Ajax unaijua...? Psv je
 
Mpaka sasa Leicester city anaelekea kushuka daraja lakini UEFA ameongoza kundi kwa point nyingi sana, huo ndio ubora na ukali wenyewe WA EPL!
Hata sevilla hawajawa nafac ya Pl cku nying lakn Europe wamechukua Mara Tatu mfululizo
 
misimu mitatu iliopita UEFA zilikwenda kwa timu za la liga pia kwa miaka hiyo mitatu europa ilikwenda hukohuko tena kwa timu moja tu,sevilla......mwanafunz bora tunampima kwa kufaulu mtihani bhana..mnaosema EPL ina ushndan sawa ushndan upo kwakuwa timu zote zina viwango duni vnavyokaribiana hvyo ushndan lazima uwepo.......
 
Mpaka sasa Leicester city anaelekea kushuka daraja lakini UEFA ameongoza kundi kwa point nyingi sana, huo ndio ubora na ukali wenyewe WA EPL!
Uliliona kundi la UEFA la Leicester lakini?
 
Haya ndio mambo ambayo anko hayataki yaani mmekaa mnabishana kuhusu ligi za nje huku mmeshindwa kuwashauri wachezaji wa ndani waache kula vibanzi nyie bize kujadili ligi za watu

QUOTE [HASHTAG]#NONSENSE[/HASHTAG]
 
Mm ni shabiki wa juventus tangu 1995. La liga na NBA kikapu ndio ligi bora kuangaliwa.
 
Tafadhali nakuomba sana kwenye list ya timu zako kubwa ondoa Arsenal na Chelsea au unipe vigezo unavyozingatia kuita hizo timu timu kubwa labda ntakuelewa.
mkuu timu nlizokutajia ni famous, na zina fans wengi na zina impact in one way or another..... Arsenal fans kenya wanajinyonge kwa timu yao 😀
 
Kwa muda mrefu sana wapenda soka wa dunia wamedanganywa kwamba ligi ya Spain ndio ligi bora na ngumu kuliko ligi zote duniani , hata pale sisi wataalam na wachambuzi wa soka tulipopinga , tena kwa mifano iliyofanyiwa utafiti , tuliishia kusimangwa .

Kipigo cha Barcelona kutoka kwa vibonde PSG ni ushahidi mwingine kwamba soka la spain si lolote , jambo pekee lililojificha ni kwamba , ligi ya spain ina mkusanyiko wa wachezaji wazuri wa dunia ambao kucheza kwao kwa muda kwenye ligi mbovu kumedumaza uwezo wao.

Mifano ni mingi sana , ligi bora haiwezi kuwa na timu bora zisizozidi 5 tu kama siyo 3 , ligi bora ya dunia haiwezekani kuonekana bure bila malipo , ukiacha Tv duni kabisa duniani kama TBC , karibu Tv zingine zote zinaonyesha ligi ya Spain bure kabisa , Azam na Dstv Bomba ni mifano ya karibu .

Timu za Spain zitaendelea kuadhirika zaidi kuanzia sasa na kuvuliwa huo ufalme hewa waliovikwa .

....... Itaendelea ........
Omba radhi kwa kuiita PSG vibonde
 
Leverkusen 0-2 Atletico

man city 1-2 Monaco

Ubutu wa primera division
 
N mitahira hyo... Ujinyonge kwa ajil ya team inayofungwa kila cku....? Arsenal wanajaribu kua team kubwa lakn hawawez...
 
naona leicester hapa wanarudisha ulimi mdomoni kwa mikono.
 
Back
Top Bottom