Tetesi: Ubuyu Exclusive; Tunda Sabasita abeba mimba ya diamond platnumz

Tetesi: Ubuyu Exclusive; Tunda Sabasita abeba mimba ya diamond platnumz

Sifa kuu ya Watu wa kigoma (Waha) ni kutupia mimba sanaaa hilo lipo wazi..
Mondi endelea kudumisha mila Mpaka pumbou zitoe hewa..

[HASHTAG]#MwanaumeMgegedo[/HASHTAG]
Diamond sio muha, ni mmanyema
 
Hance husikii wivu?
Naona mil 5 za baba Tiffa zinatafutwa na kila mtu
 
Huyu demu ni mzuri aiseee kuna siku alikuja ofisini kwetu wacha kabisaaa kanamvuto....

Simlaumu mondi kwa kuloweka li jihogo lake kwa tunda.....
 
Mmh mimba itakua ya Hance. Sio kwa kumpenda huko mtoto matunda
 
Ubuyu ni chakula ya kike!!! Wanaume wapo na wapi tukala Ubuyu!!!!! Nachukia mwanaume kukaaa na kuanza kujadili mambo ya watu!
 
Cleopatra wa Hance anamimba ya Mond huku Hance akichekelea.
 
Pengine wazee wao wanawabanjua pia
mbele ya pesa kuna mwenye sauti?
hadi mzazi anaufyata
huyu mtoto hapo alipo anatembelea magari hata wazaz wake wanayaota tu.anaish hoteli za nyota tano na apartment sio nyumban kwao...
milo yake mfano lunch anapiga za kuanzia 15000 had 30000
sasa piga hesabu siku nzima
bado mavaz yake harudii
inasekana kuna bonge la jumba more than 100 million anajenga
baba mwenyewe afande tu wa kuomba rushwa..atamkaziaje?anaanzaje kumpiga bitu et rud shule ukasome
hawez
 
Back
Top Bottom