kidunula1
JF-Expert Member
- Apr 2, 2016
- 6,305
- 6,341
Asee kwa nguvu ya dolali hapa duniani kweli mzazi kama hayupo vema kiuchumi lazima ajifanye kama hamuoni.mbele ya pesa kuna mwenye sauti?
hadi mzazi anaufyata
huyu mtoto hapo alipo anatembelea magari hata wazaz wake wanayaota tu.anaish hoteli za nyota tano na apartment sio nyumban kwao...
milo yake mfano lunch anapiga za kuanzia 15000 had 30000
sasa piga hesabu siku nzima
bado mavaz yake harudii
inasekana kuna bonge la jumba more than 100 million anajenga
baba mwenyewe afande tu wa kuomba rushwa..atamkaziaje?anaanzaje kumpiga bitu et rud shule ukasome
hawez