Tetesi: Ubuyu Exclusive; Tunda Sabasita abeba mimba ya diamond platnumz

Asee kwa nguvu ya dolali hapa duniani kweli mzazi kama hayupo vema kiuchumi lazima ajifanye kama hamuoni.
 
Asee kwa nguvu ya dolali hapa duniani kweli mzazi kama hayupo vema kiuchumi lazima ajifanye kama hamuoni.
acha tu..ukijifabya kumtafuta mwanangu nisaidie elfu kumi nimechacha leo..mara paap msg ya tigopesa umepokea laki 7 kutoka kwa tunda sabasita..
utafanyaje?
 
Kuna watoto wametokea familia nzuri lakini wazazi walishindwa kuwakazia watoto.... Kwangu naona pesa ni moja ya factor tu.

Tabia na malezi ndicho kikubwa.
Kumlea mtoto wakike akakaa sawa kimaadili ni kazi Sana Mkuu, ni kumuomba Mungu tu akuongozee mwanao.
 

Huyu anaonekana ana ' Mbunye ' nzuri halafu tamu mno kwani mdomo wake tu na ulimi ulivyo vinaonyesha ' burudani ' tosha ya ' Kibaiolojia ' aliyonayo. Kama Diamond ' kampakuwa ' ni jambo jema na nampa big up sana. Ukiwa na Hela lazima uhakikishe ' unawakanyaga ' vizuri Mademu wanaojipendekeza ili kujenga heshima na nidhamu. Diamond kweli ni Simba wa ' Mbunye ' na hatanii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…