Danielmwasi
JF-Expert Member
- May 3, 2021
- 2,134
- 3,834
short story : kocha alimpiga Na chupa ya maji mchezaji.
for more details here
for more details here
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siyo Yanga, ni Majini😁Dah! Yanga inawasababishia watu maafa aisee.
Kweli kabisa. Maana hata Mayele na Pyramid yake naye hawajaachwa salama na hayo Majini. Bora hata angebaki tu Jangwani.Siyo Yanga, ni Majini😁
buyo mchezaji ni mkorofi hakustahili afanye hivyoshort story : mchezaji alimpiga Na chupa ya maji kocha .
for more details here
View attachment 2915474View attachment 2915476View attachment 2915478View attachment 2915479
Mkuu Kuna kitu naomba nikuulize, Jana Kuna kitu nimeshangaa sana nahisi huyu kocha na wachezaji wake watakua wamelogwa sijui au ni ujinga kichwani.... Hata wa yanga sikuwaelewaDah! Yanga inawasababishia watu maafa aisee.
Gamondi alisema mbinu zitatumika zaidi wakati wa kujilinda na wakati wa kushambulia..Waarabu wakawahiwaMkuu Kuna kitu naomba nikuulize, Jana Kuna kitu nimeshangaa sana nahisi huyu kocha na wachezaji wake watakua wamelogwa sijui au ni ujinga kichwani.... Hata wa yanga sikuwaelewa
Hawa jamaa ni kama walikuja zuia wapate hata draw... Wakaana 1st half kwa kupaki basi... Baada ya kuruhusu goli la kwanza nadhani 2nd half wakaja na plan Hio Hio wapaki basi wacheze counter ndipo wakashangaa ndani ya dakika 5 washapigwa chuma mbili
Sasa matokeo ya 3-0 bado hayakua mabaya sana maana wangetegemea yanga afungwe ye ashinde.... Kwenye dakika za 75 naona kina diarra wakaanza kupoteza muda ikiwa bado 3-0 nikawa siwaelewi kabisa nao... Ilipofika dakika ya 80 kwa kua huwezi rudisha goli nilitegemea jamaa wajilinde zaidi ili wafungwe hata 3-0 ndo kwanza wakajazana mbele wakaruhusu goli la nne
Technical kocha alifeli sana kuhandle dakika za mwisho akaruhusu goli na 4
Mkuu ipo hivi hawa jamaa wanajua kabisa sheria ni ipi inayotangulia kufanya kazi endapo mnalingana point. Hivyo wakati wamefungwa magoli matatu ikabidi washambulie kwa kasi ili wapate goli moja. Wangefanikiwa kupata goli moja tu lingeharibu kila kitu kwa Yanga. Ingeibidi Yanga watafute magoli mawili zaidi yaani wawe na magoli matano. Kwasababu goli la ugenini lingehesabika hapo.Mkuu Kuna kitu naomba nikuulize, Jana Kuna kitu nimeshangaa sana nahisi huyu kocha na wachezaji wake watakua wamelogwa sijui au ni ujinga kichwani.... Hata wa yanga sikuwaelewa
Hawa jamaa ni kama walikuja zuia wapate hata draw... Wakaana 1st half kwa kupaki basi... Baada ya kuruhusu goli la kwanza nadhani 2nd half wakaja na plan Hio Hio wapaki basi wacheze counter ndipo wakashangaa ndani ya dakika 5 washapigwa chuma mbili
Sasa matokeo ya 3-0 bado hayakua mabaya sana maana wangetegemea yanga afungwe ye ashinde.... Kwenye dakika za 75 naona kina diarra wakaanza kupoteza muda ikiwa bado 3-0 nikawa siwaelewi kabisa nao... Ilipofika dakika ya 80 kwa kua huwezi rudisha goli nilitegemea jamaa wajilinde zaidi ili wafungwe hata 3-0 ndo kwanza wakajazana mbele wakaruhusu goli la nne
Technical kocha alifeli sana kuhandle dakika za mwisho akaruhusu goli na 4
Sawa ndo nakuuliza dakika ya 80 ilipokua 3-0 kwanini wasingepaki tu basi ili yanga asipate goli la nne... Ndo kwanza wachezaji wao wakawa wanakimbilia kuwahisha mipira uwanjani badala ya kupoteza muda... Nilishangaa sana aiseeMkuu ipo hivi hawa jamaa wanajua kabisa sheria ni ipi inayotangulia kufanya kazi endapo mnalingana point. Hivyo wakati wamefungwa magoli matatu ikabidi washambulie kwa kasi ili wapate goli moja. Wangefanikiwa kupata goli moja tu lingeharibu kila kitu kwa Yanga. Ingeibidi Yanga watafute magoli mawili zaidi yaani wawe na magoli matano. Kwasababu goli la ugenini lingehesabika hapo.
nimefurahi sana kuona waarabu walikuwa kwenye tv wanacheki ile mechi ya 4-0. tunashukuru sana waarabu kwa ushirikiano.short story : kocha alimpiga Na chupa ya maji mchezaji.
for more details here
View attachment 2915474View attachment 2915476View attachment 2915478View attachment 2915479
walikosea kufunguka, na okra aliwatisha zile mbio. pia wachezaji wa yanga jana walikuwa vizuri sana, walipania, jana wangeweza hata kufunga 6 kama wangekuwa makini.Sawa ndo nakuuliza dakika ya 80 ilipokua 3-0 kwanini wasingepaki tu basi ili yanga asipate goli la nne... Ndo kwanza wachezaji wao wakawa wanakimbilia kuwahisha mipira uwanjani badala ya kupoteza muda... Nilishangaa sana aisee
Mzee umesoma ukanielewa kweli?Sawa ndo nakuuliza dakika ya 80 ilipokua 3-0 kwanini wasingepaki tu basi ili yanga asipate goli la nne... Ndo kwanza wachezaji wao wakawa wanakimbilia kuwahisha mipira uwanjani badala ya kupoteza muda... Nilishangaa sana aisee