UBUYU: Sababu ya ugomvi wa kocha wa CB Belouzidad na mchezaji wake. Hii ni skendo kubwa kwa mpira wa Algeria

Sawa ndo nakuuliza dakika ya 80 ilipokua 3-0 kwanini wasingepaki tu basi ili yanga asipate goli la nne... Ndo kwanza wachezaji wao wakawa wanakimbilia kuwahisha mipira uwanjani badala ya kupoteza muda... Nilishangaa sana aisee
Mpira ungeisha kwa goli 3-0 wangekuwa na hali ngumu mno, mechi yao ya mwisho dhidi ya Medeama kwasababu ili wa level goal difference na Yanga wanatakiwa wamfunge Medeama goli 3-0 huku yanga nayo ifungwe goli moja na Al Ahly. Au Yanga afungwe goli 2-0 na yeye ashinde 2-0 dhidi ya Medeama. Kwahiyo wakaona wana mazingira magumu sana hapo hivyo wakaamua kuchukua option iliyo nyepesi kwao ni kupata goli moja pekee ili kumchafulia Yanga katika H2H kwa masna wangepata goli moja kazi ingekuwa kubwa kwa Yanga kwasababu ingewalazimu kupata magoli mawili zaidi yaani game iishe 5-1 ila ikitoka 3-1 au 4-1 basi Yanga ingetoka kama wangelingana point kwasababu Yanga atakuwa karuhusu goli la ugenini.
 
Kama inaweza kuloga timu hivyo basi mwaka huu itakuwa Bingwa wa Dunia
 
Bahati mbaya na wenyewe walikuwa wanalazimisha kupata hata goli moja tu ili waipe wakati mgumu Yanga! Na mwisho wa siku wakajikuta wameingia kwenye mfumo.

All in all, Yanga ilicheza mpira mkubwa sana siku ya jana.
 
Ili kumfavor mwarabu, ingembidi Belouizdad amfunge Medeama 6-0 na aombee Yanga ifungwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…