Huyu alisema nyumba ya South si yake, watoto wa diamond si wake leo redio si yake Lakin hajawahi kututajia vitu diamond anavyomiliki, alafu huu upuuzi eti kusaga anataka kuicha CMG, hivi mtu aiache bidhaa iliyosimama eti akandeleze project mpya huu uwendawazimi. Nakuhusu sallam jamaa kichwa sana ila ni invisible, nyuma ya mafanikio ya AY kibiashara yupo sallam na paka kesho yy ndiye anazimanage, jamaa anaendesha mgahawa mlimani city, anadizzim online na yy ndio msanii ambaye ni wakala wa Davido na Wizkid EA, huku manager wa wizkid, Sunday anasimamia kazi za Diamond West Africa. Show Fiesta ya davido sallam ndiye aliyemtafuta davido na kumleta Dar na ndiye yy aliyefanikisha collaboration ya Diamond na davido na mwisho jamaa ana biashara zake Rwanda. Alafu na nyie huyu dem kawageuza misukule, yaani collabo zote za Diamond kasimamia Ruge, mbona anashindwa kufanya hivyo kwa wasanii wake wa THT akina Lina na Barnaba. Mimi naichukia sana Man utd lkn ukweli man ana UEFA tatu, lkn mimi Arsenal sijawahi kuchukua UEFA, lkn huyu dem kila kitu kwake anachofanya Diamond ni NEGATIVE mimi MPAKA NAJIULIZA DIAMOND ALIMFANYA NINI HUYU, si kwa chuki hizi za kubadili uwongo kuwa mkweli. Sallam ana nguvu sana number 1 original imepigwa Trace na MTV, baada ya sallam, kwani Seven aliweka fitina South, sallam akawatumia trace Nigeria na hatimae ndio Trace, MTV na channel O za South Africa wakaanza kupiga. Acheni KUWA MISUKULE YA MANGI kila kitu ndio, Mange ni MPUUZI, HOPELESS we mtu upo marekani unashindwa kupata kibarua cha kufanya, unapiga umbeya yaani bora yule dada wa uswazi anayechoma vitumbua, kuliko kusikiliza upuuzi wa huyu. Narudia kwa wale wachimbaji HIVI DIAMOND PLATNUMZ ALIMFANYA NINI MANGE MAANA SI KWA CHUKI HIZI. Anatumtukana rais wetu dikteta, wakati yy analazimisha watu wafikiri kama yy kwani hataki kukosolewa, sasa huo nao si udikteta, MPUUZI HUYU NA HAO WAPUUZI WENZAKE WANAOMFOLLOW NDIO WANAMPA KICHWA.