Kama mange alihusika na kuiandaa show ya diamond are forever ilikuwaje hakutajwa au kujisifia sifia kama kawaida yake?kwa pesa zipi?za maronyaronya au? Kwenye hio show diamond alimdhalilisha sana wema ila mbona mange hakuyafumua haya mambo?
So mmilik wa clouds hasa ni nani?inawezekanaje baba mwenye nyumba akaamua kujenga nyumba nyingine huko mbali na kuja kuwahamisha wapangaji(yamoto bend)mboso kupeleka nyumba yake nyingine ati anamkomoa mpangaji wa nyumba ya zaman ,how is this possible?
Kama ruge ndo aliyempandisha diamond mbona kashindwa mpandisha barnaba zaid ya diamond?vipi aslay keshatafutiwa collabo gan na wasanii wa nje?
Ili semekana zari alimuunganisha dai na akina p square mbona leo muongo anayageuka maneno yake. So ruge ndo aliyemuunganisha dai na boss wa belaire?
Kwenye video ya diamond karanga inaonekana jamaa raia wa kigen kama wamiliki sasa inakuwaje kusaga amiliki hiyo biashara kwa asilimia 100?
Kwann makonda kila siku lazima awekwe kama superman kwenye kila scene za ugomvi anaouingilia mange?
HIVI YA MOTOBAND ILIKUA YA BABU TALE AU MKUBWA FELLA?NYUMBA ZA AKINA ASLAY INASEMEKANA MKUBWA FELLA KAWADHULUMU NA SIO BABU TALE. Soon itasemekana wanaume family ilikua chini ya ruge
Honesty kuna mtu anatakiwa apumzike kuingilia visivyomhusu