Ubuyu wa Diamond, Ruge na Kusaga

Ubuyu wa Diamond, Ruge na Kusaga

Mkuu njoo na ushahidi
Hiyo imejidhihirisha pale neno Dada lilipokufanya uamini mi wa kike. Maana yake hutegemei jinsia ya kiume kutamka hilo neno. Yani hujui jina la heshima kwa mdada alokuzidi umri au hata mlokuwa rika moja
 
Kwa sababu hii ni movie sitaki kumjudge mtu wacha nisubiri mwendelezo ila simply huyo mtu anajiita mange akili zake anazijua mwenyewe
 
Hiyo imejidhihirisha pale neno Dada lilipokufanya uamini mi wa kike. Maana yake hutegemei jinsia ya kiume kutamka hilo neno. Yani hujui jina la heshima kwa mdada alokuzidi umri au hata mlokuwa rika moja
Sema dada wewe! Da ndio kitu gani!
Sio kila dada ni wakuheshemu, akijiheshimu naye ataheshimika automatically
 
ANAFUNGUKA MWANDISHI : . Eti Ruge manager wa @diamondplatnumz ????hivi THT kuna hata mmoja alifikia level za @diamondplatnumz ,pia Ruge yeye anaitangaza Tigo miaka yote,leo msanii wake aingie ubia na Voda. Saidi Fella kwahiyo alikuwa hamiliki Yamoto Band?wakati @aslayisihaka anakua tunamuona kwa Fela na sio kwa Ruge.Labda waseme Ruge huwa mtoa support kwa wasanii anaowaona wanakuja juu. Kina Lina,Mwasiti,Recho,Barnaba,wako wapi?sialikuwa anawatengeneza.Msanii gani wa Ruge alifika kama level za @diamondplatnumz ?Jamani @diamondplatnumz hata kama ana manager wake lakini na yeye anajuwa kuhangaika,kujituma,kujipendekeza hadi hapo alipofikia.Mimi sio team Kiba ila sipendi kumuona mtu anamuharibia Kiba ili apotee kabisa,na hiyo team mond hawanaga. Hebu tumuache Mondi ajitafutie maisha yake jamani.Trump amesema tunaacha ndizi zetu tunaenda kutafuta ndizi za watu wengine. By John Shayo
Wengi kweli wapumzike kuingilia yasituhusu[emoji2] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
ANAFUNGUKA MWANDISHI : . Eti Ruge manager wa @diamondplatnumz ????hivi THT kuna hata mmoja alifikia level za @diamondplatnumz ,pia Ruge yeye anaitangaza Tigo miaka yote,leo msanii wake aingie ubia na Voda. Saidi Fella kwahiyo alikuwa hamiliki Yamoto Band?wakati @aslayisihaka anakua tunamuona kwa Fela na sio kwa Ruge.Labda waseme Ruge huwa mtoa support kwa wasanii anaowaona wanakuja juu. Kina Lina,Mwasiti,Recho,Barnaba,wako wapi?sialikuwa anawatengeneza.Msanii gani wa Ruge alifika kama level za @diamondplatnumz ?Jamani @diamondplatnumz hata kama ana manager wake lakini na yeye anajuwa kuhangaika,kujituma,kujipendekeza hadi hapo alipofikia.Mimi sio team Kiba ila sipendi kumuona mtu anamuharibia Kiba ili apotee kabisa,na hiyo team mond hawanaga. Hebu tumuache Mondi ajitafutie maisha yake jamani.Trump amesema tunaacha ndizi zetu tunaenda kutafuta ndizi za watu wengine. By John Shayo
Tuache kuingilia yasiyotuhusu
 
Umbea kama umbea mwingine tu!..Kwani Ruge na Kusaga hawana mkataba wa nani boss, nani mmiliki na nani mtendaji?...Mwambieni Mange aruhusu critics sio taarifa tu!.
Akishindwa aje JF sasa!!..
Aje JF mara ngapi? Si ndo Lara1
 
Mange is always a lier sija, si, na sitakaa nimwamini.
All in all she's international concubin with ptetext behind socialite.
 
Mange huwa anajikanganya sana, anakufanya msomaji kama mtoto mjinga tu.

Hili swali ukimuuliza insta anakublok.

Hivi inaingia akilini kweli umuachie mtu kituo chako ukaanzishe kingine? Umuachieje sasa umemuuzia au umekisusa? Hivi mange anaijua maana na thamani ya Goodwill kwenye biashara?

Kusaga hamna kitu injini ni ruge bila ruge hakuna clouds, na kusaga analijua hilo sasa hajiulizi hiyo wasafi tv na radio zitawezaje bila ruge? Si na zenyewe zitaanguka kama clouds bila ruge?

Hapohapo unasema clouds inaenda kufa sasa inaendaje kufa huku genius ruge yupo? Au u genius umepungua kidogo?

Hizi ni hadithi za paukwa pakawa.
 
Ufikiri wa akili namna hii haufai kwenye umbea...umbea unataka we umuamini tu wholeheartdly anaekupa umbea bila kuhoji wala ku judge.... Usitumie akili kubwa ku encrypt codes za umbea mkuu,ni matumizi mabaya ya rasilimali
UMEONA ENH!
kazi ya umbea ni kupitisha muda!
wether kweli au sio kweli unasomaaaa unachekelea!
ndo mana unaitwa ubuyu!
we jiulize ubuyu uliotiwa rangi ule una kazi gani mwilini kama sio kumun'gunywa na kutemwa mbegu tu?
 
Mange huwa anajikanganya sana, anakufanya msomaji kama mtoto mjinga tu.

Hili swali ukimuuliza insta anakublok.

Hivi inaingia akilini kweli umuachie mtu kituo chako ukaanzishe kingine? Umuachieje sasa umemuuzia au umekisusa? Hivi mange anaijua maana na thamani ya Goodwill kwenye biashara?

Kusaga hamna kitu injini ni ruge bila ruge hakuna clouds, na kusaga analijua hilo sasa hajiulizi hiyo wasafi tv na radio zitawezaje bila ruge? Si na zenyewe zitaanguka kama clouds bila ruge?

Hapohapo unasema clouds inaenda kufa sasa inaendaje kufa huku genius ruge yupo? Au u genius umepungua kidogo?

Hizi ni hadithi za paukwa pakawa.
AHAHAHHAHAHAHHAA IMAGINE!
MI NIKAJUA WANAONDOKA NA RUGE!
sasa kama kubwa la maadui linabaki clouds!
si ina maana whatever made clouds shining is there to stay!
INAKUFAJE SASA?
 
hii ni biashara... na kama wameona fursa kila mtu kwa upande wake... hacha wamtumie kijana mondi... huyu meneja wa mondi, mwingine ni mfanyabiashara na mondi... na meneja pamoja na mfanyabiashara wao ni wajasiliamali wa pamoja katk miradi tofauti....

sasa una jiulizaje maswali yaliyo kuwa na mtazamo hasi... mimi nina pesa ndio maana naishi EAU wewe nakutumikisha labda kwa kuwa nina pesa na hisa nyingi, na ni mwepesi ktk kutambua fursa iliyopo ktk raslmal mtu au watu, ndio maana nika amua kuwekeza kwa mtu anaeitwa jiniazi "Ruge" na kwa kuona fursa ingine na kwa kuwa nina pesa, nika amua kuwekeza kwa Dai mimi na mke wangu... hapa tuna fanya biashara tu tukiwa ughaibuni hatuna maneno mengi...

sijui kwanini... wakina mange na watu sampuli yake wana matatizo ya kifikra... ukiwa jiniazi kwa kutambua kipaji cha mtu na kukitumia ipasavyo kuliko yeye anavyo zani angeweza au hawezi kukitumia kipawa hiko, basi wewe upo vizuri zaidi kuliko yeye... maana ukimwacha abaki mwenyewe hato weza kufika mbali...

je, ndio usili wa Ruge kuficha mali zake au hawezi kufanya biashara zake kwa kuwa hana uwezo wa kusima bila kusimamiwa? au mpaka kusaga awekeze pesa yake ndipo Ruge ana weza kuonekana....

Boss Jo, Big Jo... mwacheni aishi vizuri na wafanyakazi wake ndio maana ni nadra kusikia migogoro baina yake na wafanyabiashara wenzie zaidi ya kelele za majirani...
 
AHAHAHHAHAHAHHAA IMAGINE!
MI NIKAJUA WANAONDOKA NA RUGE!
sasa kama kubwa la maadui linabaki clouds!
si ina maana whatever made clouds shining is there to stay!
INAKUFAJE SASA?
Halafu ruge angekuwa genius kweli si angeanzisha chake na yeye basi akikuze kiipite hiyo clouds? Sasa huyu genius anaekakaa kunyengwa malipo na mwenye kituo anaugenius kweli?
 
Kosa kubwa la Nyerere ni kutufanya watanzania kuwa wachawi wa asili,nadhani haya ndo madhara ya mwenge kukimbizwa nchi nzima(utani) labda siku mwenge ukikoma na sisi tutaacha uchawi.
 
Back
Top Bottom