Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,469
- 12,391
Ruge sio genius bali ni mpishi wa fitna.Halafu ruge angekuwa genius kweli si angeanzisha chake na yeye basi akikuze kiipite hiyo clouds? Sasa huyu genius anaekakaa kunyengwa malipo na mwenye kituo anaugenius kweli?
AHAHAHAHHAA see!Halafu ruge angekuwa genius kweli si angeanzisha chake na yeye basi akikuze kiipite hiyo clouds? Sasa huyu genius anaekakaa kunyengwa malipo na mwenye kituo anaugenius kweli?
Sawa mkuu tumekuelewa lakini usiwe unaquote uzi mrefu hvyo unatupa tabu watumiaji wa simuKosa kubwa la Nyerere ni kutufanya watanzania kuwa wachawi wa asili,nadhani haya ndo madhara ya mwenge kukimbizwa nchi nzima(utani) labda siku mwenge ukikoma na sisi tutaacha uchawi.
Umejikita katika maswali. Leya majibuKama mange alihusika na kuiandaa show ya diamond are forever ilikuwaje hakutajwa au kujisifia sifia kama kawaida yake?kwa pesa zipi?za maronyaronya au? Kwenye hio show diamond alimdhalilisha sana wema ila mbona mange hakuyafumua haya mambo?
So mmilik wa clouds hasa ni nani?inawezekanaje baba mwenye nyumba akaamua kujenga nyumba nyingine huko mbali na kuja kuwahamisha wapangaji(yamoto bend)mboso kupeleka nyumba yake nyingine ati anamkomoa mpangaji wa nyumba ya zaman ,how is this possible?
Kama ruge ndo aliyempandisha diamond mbona kashindwa mpandisha barnaba zaid ya diamond?vipi aslay keshatafutiwa collabo gan na wasanii wa nje?
Ili semekana zari alimuunganisha dai na akina p square mbona leo muongo anayageuka maneno yake. So ruge ndo aliyemuunganisha dai na boss wa belaire?
Kwenye video ya diamond karanga inaonekana jamaa raia wa kigen kama wamiliki sasa inakuwaje kusaga amiliki hiyo biashara kwa asilimia 100?
Kwann makonda kila siku lazima awekwe kama superman kwenye kila scene za ugomvi anaouingilia mange?
HIVI YA MOTOBAND ILIKUA YA BABU TALE AU MKUBWA FELLA?NYUMBA ZA AKINA ASLAY INASEMEKANA MKUBWA FELLA KAWADHULUMU NA SIO BABU TALE. Soon itasemekana wanaume family ilikua chini ya ruge
Honesty kuna mtu anatakiwa apumzike kuingilia visivyomhusu
Umejikita katika maswali. Leya majibu
Nimekuelewa sanaNipe wewe
Kusaga ni partner kwenye hiyo kampuni na diamond ni balozi waoWanaomwamini huyu dada nahisi wana upungufu wa akili, eti diamond karanga ni ya Kusaga. Mwongo na mpotoshaji mkubwa, hiyo ni mali ya wahindi wa Smart wale wanaotengeneza chips snack
Hata mimi alishani block baada ya kumhojiMkuu tulio blockiwa tupo wengi,kule anataka wafuwasi tu hataki kupingwa.
Huyo Manzi kashawashika akili wengi.. story zake nyingi mpaka atumiwe ila za kutunga yeye.. huoni hata ukweli upo wapi.. &#/ na inshort ya kwamba mondi atapotea hlo asahau..
Umemuona mange alivyomalizia part 4 yake[emoji1] [emoji1] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]wityyyy
Mwenyew alinblock anapenda kusifiwa tuuNiliwahi kumpasha ukweli Mange akaniblock! Mange is a coward, ni mwepesi kuliko unyoya.
Hana kifua cha kuhimili hoja nzito. Ni vile tu kajificha nyuma ya keyboard na kwenye nchi za watu.
[/Color=Red]HUYU NA HAO WAPUUZI WENZAKE WANAO MFLLOW NDO WANAMPA KICHWA[/color]Huyu alisema nyumba ya South si yake, watoto wa diamond si wake leo redio si yake Lakin hajawahi kututajia vitu diamond anavyomiliki, alafu huu upuuzi eti kusaga anataka kuicha CMG, hivi mtu aiache bidhaa iliyosimama eti akandeleze project mpya huu uwendawazimi. Nakuhusu sallam jamaa kichwa sana ila ni invisible, nyuma ya mafanikio ya AY kibiashara yupo sallam na paka kesho yy ndiye anazimanage, jamaa anaendesha mgahawa mlimani city, anadizzim online na yy ndio msanii ambaye ni wakala wa Davido na Wizkid EA, huku manager wa wizkid, Sunday anasimamia kazi za Diamond West Africa. Show Fiesta ya davido sallam ndiye aliyemtafuta davido na kumleta Dar na ndiye yy aliyefanikisha collaboration ya Diamond na davido na mwisho jamaa ana biashara zake Rwanda. Alafu na nyie huyu dem kawageuza misukule, yaani collabo zote za Diamond kasimamia Ruge, mbona anashindwa kufanya hivyo kwa wasanii wake wa THT akina Lina na Barnaba. Mimi naichukia sana Man utd lkn ukweli man ana UEFA tatu, lkn mimi Arsenal sijawahi kuchukua UEFA, lkn huyu dem kila kitu kwake anachofanya Diamond ni NEGATIVE mimi MPAKA NAJIULIZA DIAMOND ALIMFANYA NINI HUYU, si kwa chuki hizi za kubadili uwongo kuwa mkweli. Sallam ana nguvu sana number 1 original imepigwa Trace na MTV, baada ya sallam, kwani Seven aliweka fitina South, sallam akawatumia trace Nigeria na hatimae ndio Trace, MTV na channel O za South Africa wakaanza kupiga. Acheni KUWA MISUKULE YA MANGI kila kitu ndio, Mange ni MPUUZI, HOPELESS we mtu upo marekani unashindwa kupata kibarua cha kufanya, unapiga umbeya yaani bora yule dada wa uswazi anayechoma vitumbua, kuliko kusikiliza upuuzi wa huyu. Narudia kwa wale wachimbaji HIVI DIAMOND PLATNUMZ ALIMFANYA NINI MANGE MAANA SI KWA CHUKI HIZI. Anatumtukana rais wetu dikteta, wakati yy analazimisha watu wafikiri kama yy kwani hataki kukosolewa, sasa huo nao si udikteta, MPUUZI HUYU NA HAO WAPUUZI WENZAKE WANAOMFOLLOW NDIO WANAMPA KICHWA.
Prove me this wrong, I stand to corrected and accepted, naskia jamaa ni drug dealer na alishapigwa ban kuingia marekani, na project zote za USA utamwona diamond na tale, yeye alishanyang'anywa viza ya US babyHuyu alisema nyumba ya South si yake, watoto wa diamond si wake leo redio si yake Lakin hajawahi kututajia vitu diamond anavyomiliki, alafu huu upuuzi eti kusaga anataka kuicha CMG, hivi mtu aiache bidhaa iliyosimama eti akandeleze project mpya huu uwendawazimi. Nakuhusu sallam jamaa kichwa sana ila ni invisible, nyuma ya mafanikio ya AY kibiashara yupo sallam na paka kesho yy ndiye anazimanage, jamaa anaendesha mgahawa mlimani city, anadizzim online na yy ndio msanii ambaye ni wakala wa Davido na Wizkid EA, huku manager wa wizkid, Sunday anasimamia kazi za Diamond West Africa. Show Fiesta ya davido sallam ndiye aliyemtafuta davido na kumleta Dar na ndiye yy aliyefanikisha collaboration ya Diamond na davido na mwisho jamaa ana biashara zake Rwanda. Alafu na nyie huyu dem kawageuza misukule, yaani collabo zote za Diamond kasimamia Ruge, mbona anashindwa kufanya hivyo kwa wasanii wake wa THT akina Lina na Barnaba. Mimi naichukia sana Man utd lkn ukweli man ana UEFA tatu, lkn mimi Arsenal sijawahi kuchukua UEFA, lkn huyu dem kila kitu kwake anachofanya Diamond ni NEGATIVE mimi MPAKA NAJIULIZA DIAMOND ALIMFANYA NINI HUYU, si kwa chuki hizi za kubadili uwongo kuwa mkweli. Sallam ana nguvu sana number 1 original imepigwa Trace na MTV, baada ya sallam, kwani Seven aliweka fitina South, sallam akawatumia trace Nigeria na hatimae ndio Trace, MTV na channel O za South Africa wakaanza kupiga. Acheni KUWA MISUKULE YA MANGI kila kitu ndio, Mange ni MPUUZI, HOPELESS we mtu upo marekani unashindwa kupata kibarua cha kufanya, unapiga umbeya yaani bora yule dada wa uswazi anayechoma vitumbua, kuliko kusikiliza upuuzi wa huyu. Narudia kwa wale wachimbaji HIVI DIAMOND PLATNUMZ ALIMFANYA NINI MANGE MAANA SI KWA CHUKI HIZI. Anatumtukana rais wetu dikteta, wakati yy analazimisha watu wafikiri kama yy kwani hataki kukosolewa, sasa huo nao si udikteta, MPUUZI HUYU NA HAO WAPUUZI WENZAKE WANAOMFOLLOW NDIO WANAMPA KICHWA.