Ubuyu wa Diamond, Ruge na Kusaga

Mambo ya watu wa DSM hayanihusu, huku mkoani tuko na mambo yetu tu ambayo tofauti kabisa na kuongelea watu
 
So akiwa na hela ndogo wew tatizo lako ni nini? Nini kinakuwasha moyoni mwako juu ya maisha ya mwengine?
 
kumbe watanzania wengi hasa wa jamiiforums ni wepesi kupinga hoja bila hoja....Mange kamwaga anachokiamini kipingwe kwa hoja !unafiki wa watanzania walio wengi wanakataa hoja kwa matusi!
Hivi unajua maana ya hoja, unazijua sifa za hoja? Hivi unajua ili ujumbe uwe hoja unatakiwa kuwa na sifa gani?
Ujinga wa kutoelewa mnachokisema, mmebaki kudakia dakia na kuongea msivyovijua
 
Mawazo yako mkuu, nimeandika kawaida kabisa... kwamba Da Mange kasema Dai anamiliki asilimia 20. Sasa huo mtindo unaosema ni wa kike uko wapi?
Mkuu unatakiwa uwe na kipaji fulani ili kuweza "kuunganisha dots" yaani kiasi kwamba kitu kikisemwa unaclick tu faster, binafsi nilikuelewa faster tu, kwamba sio wewe uliyesema hivyo ila huo ni "usemi"
 
Kama ni hivo Ruge ni mwendawazimu,, kama ana uwezo mkubwa kias hicho kiakili na alianza kuhustle kitambo
Kwanini asianzishe Media Ya kwake kwa nguvu zote awabwage clouds kama kwenye ownership kuna mgogoro???
 
Mawazo yako mkuu, nimeandika kawaida kabisa... kwamba Da Mange kasema Dai anamiliki asilimia 20. Sasa huo mtindo unaosema ni wa kike uko wapi?
Umeandika kisengesenge..yaan ka unapumuliwa na mange kichwani
 
Hivi una mdanganya mtoto au.Unasema nini,msingi wa success ya Diamond ni Ruge,you are joking.Tunajua siri ya mafanikio ya Diamond,hatudanganyiki,tuseme?
 
Good Man kwa hiyo sababu haendi marekani ndio anauza madawa, je Fella nae utasemaje. Hizo rumors, jamaa upande wa biashara yupo very creative mm sina wasiwasi nae, labda kama unaushahidi ila mm sijui nimevitaja ninavyovijua kuhusu yy.
 
Hata ukiwa asilimia 0.005 wewe unanufaika nini?
Bora kawanyoosha ili waache kuponda na kuwakatisha tamaa wasanii wengine.
Manake walikuwa wanatangaza kuwa ile radio,karang na chibu perfum ni ya moda.
Na wanawaponda wasanii wengine.
Kumbe naye sio zake anatumika tu.

Misishangae lile jumba kule sauz sio lake ni la kusaga
 
Familia yako inajua kama haya ndio Mambo yanayokuweka busy?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…