Ubuyu wa Diamond, Ruge na Kusaga

Ubuyu wa Diamond, Ruge na Kusaga

Mambo ya watu wa DSM hayanihusu, huku mkoani tuko na mambo yetu tu ambayo tofauti kabisa na kuongelea watu
 
Kuna KIKI nyingi sana kina ndugu tuzifikirie kuhusu Diamond, hasa kuhusu nyumba SA, Karanga, Perfume, Majumba, n.k. n.k.
Zote hizo ni KIKI tu, kumbukeni tu ya TRA, walivyoenda pale, walipata aibu, hela waliofikiria huyu Diamond anayo kumbe siyo! Tuwe makini sana na KIKI za mtaani...
Mange is right again, Diamond hana hela kiasi hicho..
So akiwa na hela ndogo wew tatizo lako ni nini? Nini kinakuwasha moyoni mwako juu ya maisha ya mwengine?
 
kumbe watanzania wengi hasa wa jamiiforums ni wepesi kupinga hoja bila hoja....Mange kamwaga anachokiamini kipingwe kwa hoja !unafiki wa watanzania walio wengi wanakataa hoja kwa matusi!
Hivi unajua maana ya hoja, unazijua sifa za hoja? Hivi unajua ili ujumbe uwe hoja unatakiwa kuwa na sifa gani?
Ujinga wa kutoelewa mnachokisema, mmebaki kudakia dakia na kuongea msivyovijua
 
Mawazo yako mkuu, nimeandika kawaida kabisa... kwamba Da Mange kasema Dai anamiliki asilimia 20. Sasa huo mtindo unaosema ni wa kike uko wapi?
Mkuu unatakiwa uwe na kipaji fulani ili kuweza "kuunganisha dots" yaani kiasi kwamba kitu kikisemwa unaclick tu faster, binafsi nilikuelewa faster tu, kwamba sio wewe uliyesema hivyo ila huo ni "usemi"
 
Kama ni hivo Ruge ni mwendawazimu,, kama ana uwezo mkubwa kias hicho kiakili na alianza kuhustle kitambo
Kwanini asianzishe Media Ya kwake kwa nguvu zote awabwage clouds kama kwenye ownership kuna mgogoro???
 
f564823ba59f80fa3938d7dfd145d864.jpg
 
Mawazo yako mkuu, nimeandika kawaida kabisa... kwamba Da Mange kasema Dai anamiliki asilimia 20. Sasa huo mtindo unaosema ni wa kike uko wapi?
Umeandika kisengesenge..yaan ka unapumuliwa na mange kichwani
 
Kwa wapenda ubuyu,Mange kaliamsha dude huko...!!

f8ebc80a4dc127db983ffb9a4084a847.jpg

Ubuyu tayari upo mezani kimbieni huko!!

Part 1.
Mimi Tena nilete janja janja ya Sallam toka lini?? .
.
Story iko hivi. Mnaonijua toka enzi za uturn I think mtakuwa mnakumbuka kuwa nilishawahi kuwaambia kuwa meneja wa Diamond ni Ruge sio hao mashankupe kina Sallam.Hii ilikuwa ni siri kubwa mnoo. Ruge ndie aliekuwa meneja wa Diamond tangu Diamond anaanza mziki. Ruge ndio the brains behind success ya Diamond Platnumz. He is the mastermind ya career ya huyo mtoto.Ruge ndie aliewaomba Salaam na BabuTale wajifanye wao ndo mameneja wa Diamond. Si mnajua ingejulikan Diamond meneja wake Ruge Maneno yangekuwa mengi kuwa anabebwa na clouds and so forth. Ndo maana mnaona Diamond alikuwa anapata connection za collabo na wasaniii wa nje wengiii wakawa wanajifanya eti Sallam ndo anaetafuta hizo deals no it was all Ruge sabbau Ruge anajuana na hao watu wooote.Sasa miaka yoooote hii, Cut ya meneja aliekuwa anaila ni Ruge. Yani kila kazi aliyokuwa anafanya Diamond cut alikuwa anabeba Ruge then Ruge ndo anawapa chao kina Salaam na Babutale..
.
.
Hata Yamoto band meneja wao alikuwa Ruge sio BabuTale. Kama Aslay ataweza kuongea ukweli atawaambia Babutale alikuwa cover tu. Na ndo maana Yamoto Band waliblow up, na ndo maana Diamond aliblow up, It was all Ruge behind the scenes. Hata Lady Jaydee meneja wake alikuwaga Ruge.
.
.
Ngojeni niwaambieni kitu Ruge ana matatizo tena makubwa most ya matatizo la Ruge ni kwenye kuwanyenga wasaniii pesa. Hilo ndo tatizo la Ruge.Ila jamani naomba niwaambie Tanzania nzimaaaa kwenye entertainment industry hakuna kichwa kama Ruge. Jamani yule kaka sio mtu wa nchi hiii. Anajua entertainment.Na ndo maana Diamond alitulia na Ruge miaka yote hii, yawezekana Ruge alikuwa anamuonea cut yake ila mwisho wa siku alim-manage vizuri mnoo. Mimi nna ushahidi wa Ruge kumnyenga Diamond pesa. Mnakumbuka Diamond alisemaga kuwa Show kubwa aliyowahi kulipwa maisha yake yooote ni Diamonds are forever , jamani muongo ile show Diamond hakupewa hata senti na Ruge. Ile show mi mwenyewe kidogo ninyonyane macho na Ruge sababu alitaka kuniingiza mjini.Niliandaa ile show na Ruge Ila Diamond sababu Ruge meneja wake na anaona anapoifikisha career yake akawa anasema ile show ndo alillipwa sana.hayo ndo matatizo ya Ruge

Part 2.
Ila baadae Diamond alikuja kuwa mjanja akawa hakubali kabisa Ruge kumnyenga, wakawa wanaenda sawa. Anyways Diamond makes a lot of money so Ruge definitely alikuwa hamwibiii kihivyo. Na nawaambia 100% bila Ruge Diamond asingekuwa hapo alipo.
.
.
Okay nishawapa historia fupi ya Ruge na Diamond. Sasa tuende mbele kidogo.
.
.
Hii story ntakayotoa hapa nahisi hata Ruge na clouds nzima leo watapa msiba mkubwaaaa mnoooo.Joseph Kusaga ameamua kuivest pesa yake sehemu ingine. Na hiyo sehemu ni Diamond. Apparently ni kwamba Clouds kuna matatizo makubwa, na Ruge amekuwa dizaini kama anamsumbua Kusaga kuhusu ownership. Ukweli ni kwamba hakuna clouds FM bila Ruge Mutahaba. Ruge is the brains behind clouds. Ruge akiondoka cloudsleo, kesho tutawasahau . Jamani tumchukie tunavyotaka, hafai kuwa boyfriend wala mume wa mtu ila kwenye entertainment lets give credit where its due, the man is a fucking genius. Na kuna issue ya ownersship pale na Ruge nae anataka more sababu anaona ni kazi yake. As much as Ruge anawanyenga wasanii chao na yeye Clouds hawampi anachostahilo bila yeye Hakuna kitu. Ndo hivyo Kusaga slowly ana walk away from clouds. pia nimeambiwa kuna a lot of financial issue na clouds, madeni sijui kodi, na dadake Joseph .
.
Jamani ni hivi Hiyo Wasafi Radio and Wasafi TV Joseph Kusaga ndio owner by 80%, Diamond ana own 20%. All the investment ya Wasafi Radio na Wasafi TV amefanya kusaga. Hiyo wasafi online 95% owned by Joseph Kusaga. Diamond Karanga 100% owned by Joseph Kusaga. Chibu Perfume 100% owned by Johaina Kusaga, mke wa Joseph Kusaga. .
.
Clouds na Ruge sijui why wanagombana na Wasafi? Hapa Tatizo ni Joseph Kusaga. Bila Joseph Kusaga kusingekuwa na wasafi radio wala Wasafi TV. Ruge mwenyewe hii leo atapata shock na clouds nzima nahisi watapa msiba. Sababu they don’t know anaewafuck ni MD wao ambae ana believe while heartedly kuwa Clouds is going down. .
.
Jamani mpaka hiyo ofisi mpya ya wasafi Joseph Kusaga ndo kalipia kodi yoooote. .
.
Na ndo maana mnawaona kina Sallam wanamchokonia Ruge lakini kwa Kusaga wanatuliza pumbu zao. Ni sababu Kusaga ndo money roller.

Part 3.
At the end of the day, Jospeh Kusaga ndio anaeiletea completion clouds kisirisiri na ndio anaeiua clouds. .
.
Kwa hiyo wala tusidhani kuwa wasafi TV and Radio zitakuwa za mchezo mchezo, they will be biig. .
.
Alafu mnaambiwa Kusaga na Bashite wamekuwa mabesti balaaaaaaa. Yani Bashite hana Issue na clouds Issue yake ni Ruge na wake Shilawadu sababu Shilawadu ni watoto wa Ruge wale. So hii project mpya Bashite anaipongeza kwa mikono minne. Kawahakikishia vibalo and everything else.
.
.
So mnafki hapa ni Joseph Kusaga, yeye ndio ambae cause balaa lote hili alafu kakaa pembeni watu wanadhani hii ni vita ya wasafi na clouds. .
.
Sasa jiulize je Kina Salaam na BabuTale wanapata nini jinsi wanavyomtia upepo Diamond hili bifu na Ruge. Kumbukeni kina Sallam hawakuwa wanapata Cut ya umeneja. Cut ilikuwa ya Ruge then Ruge ndo anawapa wao.Na walikuwa wanaona kama Ruge anawalalia, ila wanashindwa kuelewa kuwa Ruge ndo aliewatoa, ruge ndo aliemfundisha Salaam kazi yooote ya umeneja Ruge ndo kafanya tunajua kwa kuwafanya mameneja hewa wa Diamond na Yamoto Band. Sasa kina Sallam wanamchochea Diamond sababu Diamond akiachana na Ruge jiulize Nani atakaekuwa Real manager wa Diamond na atakuwa anapokea cut yooote ya umeneja?? You guess it right? Salaam na BabuTale.... So huu ugomvi ni mzuri kwa mifuko yao, now hawatokuwa chini ya Ruge Tena watakuwa wanapokea chao choooote..
.
.
Anyways, Sijui Why Diamond nae anakubali kumpampiwa labda ndo hivyo madili ya Kusaga, huku Bashite, lakini Diamond ajue pia ana risk career yake. Mimi personally nimeona wanamuziki woooote waliokuwa managed na Ruge walipoachana na Ruge they went down!!! Anyways, labda Diamond itakuwa tofauti kwake. Alafu ni bora angeachana na Ruge kibinadamu, Diamond akumbuke Ruge alimpotoa na alipo leo. Hakufikishwa hapo na Sallam, BabuTale, Bashite wala Joseph Kusaga, alifikishwa hapo na Ruge Mutahaba.
.
.
Ruge anaboa na simpendagi sababu ya mambo yake ya Magufuli Ila Diamond anaweza kuja kujutia baadae... Na hapo mjue LiBashite ndo linampapu Diamond zaidi.... Sasa jiulize Bashite ataweza kum-manage Diamond in his career? Au wanadhani now Salaam ataweza kum-manage wakati before Salaama alikuwa anatumwa n
Hivi una mdanganya mtoto au.Unasema nini,msingi wa success ya Diamond ni Ruge,you are joking.Tunajua siri ya mafanikio ya Diamond,hatudanganyiki,tuseme?
 
Good Man kwa hiyo sababu haendi marekani ndio anauza madawa, je Fella nae utasemaje. Hizo rumors, jamaa upande wa biashara yupo very creative mm sina wasiwasi nae, labda kama unaushahidi ila mm sijui nimevitaja ninavyovijua kuhusu yy.
 
Hata ukiwa asilimia 0.005 wewe unanufaika nini?
Bora kawanyoosha ili waache kuponda na kuwakatisha tamaa wasanii wengine.
Manake walikuwa wanatangaza kuwa ile radio,karang na chibu perfum ni ya moda.
Na wanawaponda wasanii wengine.
Kumbe naye sio zake anatumika tu.

Misishangae lile jumba kule sauz sio lake ni la kusaga
 
Kwa wapenda ubuyu,Mange kaliamsha dude huko...!!

f8ebc80a4dc127db983ffb9a4084a847.jpg

Ubuyu tayari upo mezani kimbieni huko!!

Part 1.
Mimi Tena nilete janja janja ya Sallam toka lini?? .
.
Story iko hivi. Mnaonijua toka enzi za uturn I think mtakuwa mnakumbuka kuwa nilishawahi kuwaambia kuwa meneja wa Diamond ni Ruge sio hao mashankupe kina Sallam.Hii ilikuwa ni siri kubwa mnoo. Ruge ndie aliekuwa meneja wa Diamond tangu Diamond anaanza mziki. Ruge ndio the brains behind success ya Diamond Platnumz. He is the mastermind ya career ya huyo mtoto.Ruge ndie aliewaomba Salaam na BabuTale wajifanye wao ndo mameneja wa Diamond. Si mnajua ingejulikan Diamond meneja wake Ruge Maneno yangekuwa mengi kuwa anabebwa na clouds and so forth. Ndo maana mnaona Diamond alikuwa anapata connection za collabo na wasaniii wa nje wengiii wakawa wanajifanya eti Sallam ndo anaetafuta hizo deals no it was all Ruge sabbau Ruge anajuana na hao watu wooote.Sasa miaka yoooote hii, Cut ya meneja aliekuwa anaila ni Ruge. Yani kila kazi aliyokuwa anafanya Diamond cut alikuwa anabeba Ruge then Ruge ndo anawapa chao kina Salaam na Babutale..
.
.
Hata Yamoto band meneja wao alikuwa Ruge sio BabuTale. Kama Aslay ataweza kuongea ukweli atawaambia Babutale alikuwa cover tu. Na ndo maana Yamoto Band waliblow up, na ndo maana Diamond aliblow up, It was all Ruge behind the scenes. Hata Lady Jaydee meneja wake alikuwaga Ruge.
.
.
Ngojeni niwaambieni kitu Ruge ana matatizo tena makubwa most ya matatizo la Ruge ni kwenye kuwanyenga wasaniii pesa. Hilo ndo tatizo la Ruge.Ila jamani naomba niwaambie Tanzania nzimaaaa kwenye entertainment industry hakuna kichwa kama Ruge. Jamani yule kaka sio mtu wa nchi hiii. Anajua entertainment.Na ndo maana Diamond alitulia na Ruge miaka yote hii, yawezekana Ruge alikuwa anamuonea cut yake ila mwisho wa siku alim-manage vizuri mnoo. Mimi nna ushahidi wa Ruge kumnyenga Diamond pesa. Mnakumbuka Diamond alisemaga kuwa Show kubwa aliyowahi kulipwa maisha yake yooote ni Diamonds are forever , jamani muongo ile show Diamond hakupewa hata senti na Ruge. Ile show mi mwenyewe kidogo ninyonyane macho na Ruge sababu alitaka kuniingiza mjini.Niliandaa ile show na Ruge Ila Diamond sababu Ruge meneja wake na anaona anapoifikisha career yake akawa anasema ile show ndo alillipwa sana.hayo ndo matatizo ya Ruge

Part 2.
Ila baadae Diamond alikuja kuwa mjanja akawa hakubali kabisa Ruge kumnyenga, wakawa wanaenda sawa. Anyways Diamond makes a lot of money so Ruge definitely alikuwa hamwibiii kihivyo. Na nawaambia 100% bila Ruge Diamond asingekuwa hapo alipo.
.
.
Okay nishawapa historia fupi ya Ruge na Diamond. Sasa tuende mbele kidogo.
.
.
Hii story ntakayotoa hapa nahisi hata Ruge na clouds nzima leo watapa msiba mkubwaaaa mnoooo.Joseph Kusaga ameamua kuivest pesa yake sehemu ingine. Na hiyo sehemu ni Diamond. Apparently ni kwamba Clouds kuna matatizo makubwa, na Ruge amekuwa dizaini kama anamsumbua Kusaga kuhusu ownership. Ukweli ni kwamba hakuna clouds FM bila Ruge Mutahaba. Ruge is the brains behind clouds. Ruge akiondoka cloudsleo, kesho tutawasahau . Jamani tumchukie tunavyotaka, hafai kuwa boyfriend wala mume wa mtu ila kwenye entertainment lets give credit where its due, the man is a fucking genius. Na kuna issue ya ownersship pale na Ruge nae anataka more sababu anaona ni kazi yake. As much as Ruge anawanyenga wasanii chao na yeye Clouds hawampi anachostahilo bila yeye Hakuna kitu. Ndo hivyo Kusaga slowly ana walk away from clouds. pia nimeambiwa kuna a lot of financial issue na clouds, madeni sijui kodi, na dadake Joseph .
.
Jamani ni hivi Hiyo Wasafi Radio and Wasafi TV Joseph Kusaga ndio owner by 80%, Diamond ana own 20%. All the investment ya Wasafi Radio na Wasafi TV amefanya kusaga. Hiyo wasafi online 95% owned by Joseph Kusaga. Diamond Karanga 100% owned by Joseph Kusaga. Chibu Perfume 100% owned by Johaina Kusaga, mke wa Joseph Kusaga. .
.
Clouds na Ruge sijui why wanagombana na Wasafi? Hapa Tatizo ni Joseph Kusaga. Bila Joseph Kusaga kusingekuwa na wasafi radio wala Wasafi TV. Ruge mwenyewe hii leo atapata shock na clouds nzima nahisi watapa msiba. Sababu they don’t know anaewafuck ni MD wao ambae ana believe while heartedly kuwa Clouds is going down. .
.
Jamani mpaka hiyo ofisi mpya ya wasafi Joseph Kusaga ndo kalipia kodi yoooote. .
.
Na ndo maana mnawaona kina Sallam wanamchokonia Ruge lakini kwa Kusaga wanatuliza pumbu zao. Ni sababu Kusaga ndo money roller.

Part 3.
At the end of the day, Jospeh Kusaga ndio anaeiletea completion clouds kisirisiri na ndio anaeiua clouds. .
.
Kwa hiyo wala tusidhani kuwa wasafi TV and Radio zitakuwa za mchezo mchezo, they will be biig. .
.
Alafu mnaambiwa Kusaga na Bashite wamekuwa mabesti balaaaaaaa. Yani Bashite hana Issue na clouds Issue yake ni Ruge na wake Shilawadu sababu Shilawadu ni watoto wa Ruge wale. So hii project mpya Bashite anaipongeza kwa mikono minne. Kawahakikishia vibalo and everything else.
.
.
So mnafki hapa ni Joseph Kusaga, yeye ndio ambae cause balaa lote hili alafu kakaa pembeni watu wanadhani hii ni vita ya wasafi na clouds. .
.
Sasa jiulize je Kina Salaam na BabuTale wanapata nini jinsi wanavyomtia upepo Diamond hili bifu na Ruge. Kumbukeni kina Sallam hawakuwa wanapata Cut ya umeneja. Cut ilikuwa ya Ruge then Ruge ndo anawapa wao.Na walikuwa wanaona kama Ruge anawalalia, ila wanashindwa kuelewa kuwa Ruge ndo aliewatoa, ruge ndo aliemfundisha Salaam kazi yooote ya umeneja Ruge ndo kafanya tunajua kwa kuwafanya mameneja hewa wa Diamond na Yamoto Band. Sasa kina Sallam wanamchochea Diamond sababu Diamond akiachana na Ruge jiulize Nani atakaekuwa Real manager wa Diamond na atakuwa anapokea cut yooote ya umeneja?? You guess it right? Salaam na BabuTale.... So huu ugomvi ni mzuri kwa mifuko yao, now hawatokuwa chini ya Ruge Tena watakuwa wanapokea chao choooote..
.
.
Anyways, Sijui Why Diamond nae anakubali kumpampiwa labda ndo hivyo madili ya Kusaga, huku Bashite, lakini Diamond ajue pia ana risk career yake. Mimi personally nimeona wanamuziki woooote waliokuwa managed na Ruge walipoachana na Ruge they went down!!! Anyways, labda Diamond itakuwa tofauti kwake. Alafu ni bora angeachana na Ruge kibinadamu, Diamond akumbuke Ruge alimpotoa na alipo leo. Hakufikishwa hapo na Sallam, BabuTale, Bashite wala Joseph Kusaga, alifikishwa hapo na Ruge Mutahaba.
.
.
Ruge anaboa na simpendagi sababu ya mambo yake ya Magufuli Ila Diamond anaweza kuja kujutia baadae... Na hapo mjue LiBashite ndo linampapu Diamond zaidi.... Sasa jiulize Bashite ataweza kum-manage Diamond in his career? Au wanadhani now Salaam ataweza kum-manage wakati before Salaama alikuwa anatumwa n
Familia yako inajua kama haya ndio Mambo yanayokuweka busy?
 
Back
Top Bottom