Ubuyu wa Diamond, Ruge na Kusaga

Alikiba NYE NYE NYE NYE... Alikiba MOBINBA

Nadhani leo mzee wa YOOOO anachekelea
 
Familia yako inajua kama haya ndio Mambo yanayokuweka busy?
Yaani na ww unajiona ni think tank kwa ku-quate thread ndefu hivi!!? Inawezekana hata hujui km unawapa shida wasomaji wengine!
 
All wat u see and hear, its about
1 Fame
2 Wealth
3 Social status
 
Umbea kama umbea mwingine tu!..Kwani Ruge na Kusaga hawana mkataba wa nani boss, nani mmiliki na nani mtendaji?...Mwambieni Mange aruhusu critics sio taarifa tu!.
Akishindwa aje JF sasa!!..
Yule ni pumbafu mmoja ambae kawakusanya wapumbavu wenzake.
Waweze sikilizana
 
tukipata watu wengi Kama wewe hii nchi itaendelea Sana, mange kimambi na lemutuz ni watu wepesi Sana ukiwa challenge kidogo kwa hoja za uhakika wana panic na kuishia kukublock na kukutukana

Mkuu monopoly inc, avatar yako imeniacha hoi kwa kicheko. Mwakaleliiiiii.
 
 
 
Jumba wanasema watu ni la kinje eti
 
Nyie kaeni kumshangaa Mange ila ki ukweli ni source huru ya information tuliobaki nayo. Dear God keep this dada of ours
 
Me kweli sio shunie ni kidume cha mbegu chenye mandingo yake, ww si umenichunia kosa langu sijui ninii nikuombe msamaha nilikukuta sehemu nikakuquote ukanichunia

Nnachoshangaa kwanini wengi wetu tuna roho mbaya sana pale mwenzetu anapofanikiwa au mambo yake kuwa mazuri?

Wengi hufurahi pale watu wanapotumbukia kwenye majanga na matatizo au kukwama, binadamu ni kazi sana kuwaelewa.
Naweza kuwa nafuatilia kwa kiwango kidogo sana mambo ya msanii Diamond, tuwe wakweli kaonyesha kiwango cha juu sana na kuuweka mziki kwenye hatua nyingine, kulinganisha alikotoka, naweza kusema kajitahidi sana, tatizo ni lipi kupata upinzani kiasi hicho?

Tukumbuke haisaidii sana kuwaumiza watu kwa maneno au vitendo, kama hatuwezi kuwasaidia au kuwaombea basi tujitahidi tusiwaongezee matatizo..(Sikumbuki mwanzilishi wa huu msemo).

Haujanikosea chochote rafiki, wala siwezi kukuchunia, ni nafasi adimu na aghalab sana hiyo kwangu. Nikutakie wakati mzuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…