Ubuyu wa Diamond, Ruge na Kusaga

Asante Samaritan na kwako pia
 
Toka lini boss akashindana na kibarua eti kugawana share si amfukuze kazi tu pia hakuna lenye mwanzo lika kosa mwisho hata Ruge alikuta wenzake kwenye burudani yeye akatake over ila mipango imemuishia muache awaachie wenzake.
 
ongea hata wewe, unajua saiv watu wanashindwa kufikiri kabisa yaani huko INSTA huyo dada yao MANGE amekuwa kama Mungu wao, kila atachosema kipo correct. watu wanashindwa kufikiria kabisa wanakaa kuponda mafanikio ya watu, na kingine nilichojifunza ni kuwa wafuasi wake wengi ni zero brain wanapenda ushabiki wanashindwa kucomment hoja zenye fact. ww jitu zima na akili zako "ohhh dada mange hide my ID" kwa kutuma taarifa zisizo sahii it's SHAME
 
Kuna evidences zozote nyuma ya hizi porojo au ndiyo mambo ya Da Mange kasema?
 
Ni kweli mkuu kuna haja hapa ya mtu kuacha kuzungumza mambo ya watu aanze kuzungumza na ya kwake. maana kila atakachofanya Diamond sio yake duhhh.....
 
tukipata watu wengi Kama wewe hii nchi itaendelea Sana, mange kimambi na lemutuz ni watu wepesi Sana ukiwa challenge kidogo kwa hoja za uhakika wana panic na kuishia kukublock na kukutukana
Ingependeza zaidi muwe mnaichallenge selikari....!! Apo
ndio penyewe, mange na lemutuz achaneni nao...
 
Toka lini boss akashindana na kibarua eti kugawana share si amfukuze kazi tu pia hakuna lenye mwanzo lika kosa mwisho hata Ruge alikuta wenzake kwenye burudani yeye akatake over ila mipango imemuishia muache awaachie wenzake.
Mwenye mali ni mwenye mali, halazimishwi kugawana mali, Ruge atafute za kwake tu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…