Ubuyu wa Diamond, Ruge na Kusaga

Ubuyu wa Diamond, Ruge na Kusaga

Nnachoshangaa kwanini wengi wetu tuna roho mbaya sana pale mwenzetu anapofanikiwa au mambo yake kuwa mazuri?

Wengi hufurahi pale watu wanapotumbukia kwenye majanga na matatizo au kukwama, binadamu ni kazi sana kuwaelewa.
Naweza kuwa nafuatilia kwa kiwango kidogo sana mambo ya msanii Diamond, tuwe wakweli kaonyesha kiwango cha juu sana na kuuweka mziki kwenye hatua nyingine, kulinganisha alikotoka, naweza kusema kajitahidi sana, tatizo ni lipi kupata upinzani kiasi hicho?

Tukumbuke haisaidii sana kuwaumiza watu kwa maneno au vitendo, kama hatuwezi kuwasaidia au kuwaombea basi tujitahidi tusiwaongezee matatizo..(Sikumbuki mwanzilishi wa huu msemo).

Haujanikosea chochote rafiki, wala siwezi kukuchunia, ni nafasi adimu na aghalab sana hiyo kwangu. Nikutakie wakati mzuri.
Asante Samaritan na kwako pia
 
Hii story ya Mange ina ukweli fulani, wengine toka zamani tulishasikia Ruge ni mbabe kwenye Entertainment business hapa mjini, na ndio brains behind Clouds, na Kusaga alishasikia complaints za Ruge, kwamba anataka shares kwenye Clouds, Kusaga siku zote amekuwa mbishi kugawana na Ruge, Kusaga kachoka na hizo complaints, naona anataka kuendelea kuwa mwenye shares kubwa na CEO wa mambo yote anayoyaanzisha, Ruge na Kusaga kibiashara lazima yaishe, kila mtu kivyake..
Clouds kuwa na madeni hiyo nayo twaijuwa, sana tu, na kwa sasa hakuna ujanja, lazima iende Bankrupt tu, story za Mange nyingi zina ukweli..
Ila yoyote mwenye hela TZ akitaka kuanzisha Entertainment business, tunakushauri uonane na Ruge, Ruge hana mfano TZ kwenye swala hili, haongei sana, akili sana kwenye hii biashara, hana makeke, a silent killer kwenye mambo yake, he is a genius kwenye fani yake..
Ni maisha, wamalizane salama tu..
Toka lini boss akashindana na kibarua eti kugawana share si amfukuze kazi tu pia hakuna lenye mwanzo lika kosa mwisho hata Ruge alikuta wenzake kwenye burudani yeye akatake over ila mipango imemuishia muache awaachie wenzake.
 
Huyu alisema nyumba ya South si yake, watoto wa diamond si wake leo redio si yake Lakin hajawahi kututajia vitu diamond anavyomiliki, alafu huu upuuzi eti kusaga anataka kuicha CMG, hivi mtu aiache bidhaa iliyosimama eti akandeleze project mpya huu uwendawazimi. Nakuhusu sallam jamaa kichwa sana ila ni invisible, nyuma ya mafanikio ya AY kibiashara yupo sallam na paka kesho yy ndiye anazimanage, jamaa anaendesha mgahawa mlimani city, anadizzim online na yy ndio msanii ambaye ni wakala wa Davido na Wizkid EA, huku manager wa wizkid, Sunday anasimamia kazi za Diamond West Africa. Show Fiesta ya davido sallam ndiye aliyemtafuta davido na kumleta Dar na ndiye yy aliyefanikisha collaboration ya Diamond na davido na mwisho jamaa ana biashara zake Rwanda. Alafu na nyie huyu dem kawageuza misukule, yaani collabo zote za Diamond kasimamia Ruge, mbona anashindwa kufanya hivyo kwa wasanii wake wa THT akina Lina na Barnaba. Mimi naichukia sana Man utd lkn ukweli man ana UEFA tatu, lkn mimi Arsenal sijawahi kuchukua UEFA, lkn huyu dem kila kitu kwake anachofanya Diamond ni NEGATIVE mimi MPAKA NAJIULIZA DIAMOND ALIMFANYA NINI HUYU, si kwa chuki hizi za kubadili uwongo kuwa mkweli. Sallam ana nguvu sana number 1 original imepigwa Trace na MTV, baada ya sallam, kwani Seven aliweka fitina South, sallam akawatumia trace Nigeria na hatimae ndio Trace, MTV na channel O za South Africa wakaanza kupiga. Acheni KUWA MISUKULE YA MANGI kila kitu ndio, Mange ni MPUUZI, HOPELESS we mtu upo marekani unashindwa kupata kibarua cha kufanya, unapiga umbeya yaani bora yule dada wa uswazi anayechoma vitumbua, kuliko kusikiliza upuuzi wa huyu. Narudia kwa wale wachimbaji HIVI DIAMOND PLATNUMZ ALIMFANYA NINI MANGE MAANA SI KWA CHUKI HIZI. Anatumtukana rais wetu dikteta, wakati yy analazimisha watu wafikiri kama yy kwani hataki kukosolewa, sasa huo nao si udikteta, MPUUZI HUYU NA HAO WAPUUZI WENZAKE WANAOMFOLLOW NDIO WANAMPA KICHWA.
ongea hata wewe, unajua saiv watu wanashindwa kufikiri kabisa yaani huko INSTA huyo dada yao MANGE amekuwa kama Mungu wao, kila atachosema kipo correct. watu wanashindwa kufikiria kabisa wanakaa kuponda mafanikio ya watu, na kingine nilichojifunza ni kuwa wafuasi wake wengi ni zero brain wanapenda ushabiki wanashindwa kucomment hoja zenye fact. ww jitu zima na akili zako "ohhh dada mange hide my ID" kwa kutuma taarifa zisizo sahii it's SHAME
 
Kuna evidences zozote nyuma ya hizi porojo au ndiyo mambo ya Da Mange kasema?
 
Kama mange alihusika na kuiandaa show ya diamond are forever ilikuwaje hakutajwa au kujisifia sifia kama kawaida yake?kwa pesa zipi?za maronyaronya au? Kwenye hio show diamond alimdhalilisha sana wema ila mbona mange hakuyafumua haya mambo?

So mmilik wa clouds hasa ni nani?inawezekanaje baba mwenye nyumba akaamua kujenga nyumba nyingine huko mbali na kuja kuwahamisha wapangaji(yamoto bend)mboso kupeleka nyumba yake nyingine ati anamkomoa mpangaji wa nyumba ya zaman ,how is this possible?

Kama ruge ndo aliyempandisha diamond mbona kashindwa mpandisha barnaba zaid ya diamond?vipi aslay keshatafutiwa collabo gan na wasanii wa nje?

Ili semekana zari alimuunganisha dai na akina p square mbona leo muongo anayageuka maneno yake. So ruge ndo aliyemuunganisha dai na boss wa belaire?

Kwenye video ya diamond karanga inaonekana jamaa raia wa kigen kama wamiliki sasa inakuwaje kusaga amiliki hiyo biashara kwa asilimia 100?

Kwann makonda kila siku lazima awekwe kama superman kwenye kila scene za ugomvi anaouingilia mange?

HIVI YA MOTOBAND ILIKUA YA BABU TALE AU MKUBWA FELLA?NYUMBA ZA AKINA ASLAY INASEMEKANA MKUBWA FELLA KAWADHULUMU NA SIO BABU TALE. Soon itasemekana wanaume family ilikua chini ya ruge

Honesty kuna mtu anatakiwa apumzike kuingilia visivyomhusu
Ni kweli mkuu kuna haja hapa ya mtu kuacha kuzungumza mambo ya watu aanze kuzungumza na ya kwake. maana kila atakachofanya Diamond sio yake duhhh.....
 
tukipata watu wengi Kama wewe hii nchi itaendelea Sana, mange kimambi na lemutuz ni watu wepesi Sana ukiwa challenge kidogo kwa hoja za uhakika wana panic na kuishia kukublock na kukutukana
Ingependeza zaidi muwe mnaichallenge selikari....!! Apo
ndio penyewe, mange na lemutuz achaneni nao...
 
Toka lini boss akashindana na kibarua eti kugawana share si amfukuze kazi tu pia hakuna lenye mwanzo lika kosa mwisho hata Ruge alikuta wenzake kwenye burudani yeye akatake over ila mipango imemuishia muache awaachie wenzake.
Mwenye mali ni mwenye mali, halazimishwi kugawana mali, Ruge atafute za kwake tu..
 
Back
Top Bottom