SIERA
JF-Expert Member
- Apr 11, 2011
- 2,789
- 3,413
Aisee kumbe naye alibadili
Mng'azija hata bomani haendi mawili ubadili dini au muachane
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee kumbe naye alibadili
Yaliwakuta kaka zangu wawili hayo, mkubwa aliona noma kutuambia, tulishangaa tu kanisani haendi. Ilitokea mtoto alifariki, padri ilibidi aondoke, wazazi walipatwa mstuko wa kufiwa na mjukuu na habari kuwa kijana hayuko kundini kwa wakati mmoja.Mng'azija hata bomani haendi mawili ubadili dini au muachane
HatariiiMng'azija hata bomani haendi mawili ubadili dini au muachane
Mungu wanguYaliwakuta kaka zangu wawili hayo, mkubwa aliona noma kutuambia, tulishangaa tu kanisani haendi. Ilitokea mtoto alifariki, padri ilibidi aondoke, wazazi walipatwa mstuko wa kufiwa na mjukuu na habari kuwa kijana hayuko kundini kwa wakati mmoja.
Mmmmh nilijua niko pekee anguWakisema wajitokeze,watajaa kwenye fuso 2
alikuwa anasifia Mno mpododoaliomba ukakataa?!
Ametambua dini ya uislam ndiyo njia sahihi,askofu wa anglikani amekiri kuwa na mahusiano ya jinsia moja angalia BBC news.Ndiyo dini unayoifuata wewe hiyo.Ila sio kwa kuslim..
Broo mbona hii sijaipata vuri. Hebu njoo inbox tulijenge[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]Wanaume wenzangu wa dar tusichangie hili...... Ni aibu
inawezekana kweli?Ngoja niimbe kale kawimbo sijuti kukufahamu au imebaki storiMaumivu yatakwisha tu, utamsahau na kujiuliza ulimpendea nini yule😡
Kama kuna mwanamke atakuambia hajapita hayo either anakudanganya au aliolewa akiwa na 16yrs old, kwa kifupi kama wapo ni wachache sana. Wengi tumelionja hilo joto la jiwe.inawezekana kweli?Ngoja niimbe kale kawimbo sijuti kukufahamu au imebaki stori
[emoji445] inde
inde
inde
inde
inde
inde
inde
inde moni [emoji445]
Majeruhi wa mkurugenzi ni wengi sana, ninaamini hawatasema Amina katika hili😀
Mkurugenzi amewekwa kwenye kiganja hafurukuti, chezea power of p..sy (Mange Kimbambi)Kale kadada katangazaji kembambaaaaa, kumbe mashine kubwaaa eeeh... kweli usidharau wembamba wa reli..!!
Kwa hiyo kanapiga kazi sana kati... sijaabu ungeona picha anakuwa kama msikaki kisha anakuwa kama nyoka... anakatika kabisaaa alafu anajiunga tena... Mkurugenzi anazimia na kufufuka tena...
Chezea chumba kina mengi wwe
Mkurugenzi amewekwa kwenye kiganja hafurukuti, chezea power of p..sy (Mange Kimbambi)
kwa nn?Ila sio kwa kuslim..
Chezea kigoma line weye?!!Kuna waliomsikia mkurugenzi kwa maneno yake mwenyewe anadai "baby mother" amemchanganya hata mwenyewe hajielewi.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] kumbe!!Mkurugenzi mwenye kusaga alibadili dini kumuowa mng'azija so labda kafata ushauri wa boss kubwa aaahaaaa
daah!poleni macho yaliwatoka balaa!Yaliwakuta kaka zangu wawili hayo, mkubwa aliona noma kutuambia, tulishangaa tu kanisani haendi. Ilitokea mtoto alifariki, padri ilibidi aondoke, wazazi walipatwa mstuko wa kufiwa na mjukuu na habari kuwa kijana hayuko kundini kwa wakati mmoja.
yaah!hata sie kwetu tumechanganyika mnoo!Ila tofauti za kidini hazitufanyi tutengane!Tumejifunza kuishi kama familia moja, upendo unatufanya tusahau tofauti zetu.