Ubuyu wa J'Mosi 03/09/2016

Ubuyu wa J'Mosi 03/09/2016

Naomba mwenye utaalamu na IPAD anishauri Kuna mtu Anatakakuniuzia IPad 3 wifi + cellular, je hii ninzuri?

Ni nzuri Mkuu unatumia hiyo IPad sehemu yeyeto yenye Wifi Na Vilevile unaweza kutumia Kama simu(cellular).
 
Kale kadada katangazaji kembambaaaaa, kumbe mashine kubwaaa eeeh... kweli usidharau wembamba wa reli..!!

Kwa hiyo kanapiga kazi sana kati... sijaabu ungeona picha anakuwa kama msikaki kisha anakuwa kama nyoka... anakatika kabisaaa alafu anajiunga tena... Mkurugenzi anazimia na kufufuka tena...

Chezea chumba kina mengi wwe
Nimecheka sana khaaaa
 
Hewala inalipa mno aaahaaaa unajifanya mjinga bwana anaangaika Weeh mwisho wa siku anakuona wewe wa maana huko kwengine mitusi tu...we kumbe akili kumkichwa...we unafikiri angeamua na yeye kua na hasira maisha yale angeyapata wp so bora kua mpole yako yakuendee

Kweli ZAMARAD MJanja sio Kama shoga Faiza Ally, kanyea kambi sasa analia lia mitandaoni, Sugu wala hajali.
 
Humu ndani ni kama deep sea, unaogelea kwa uwezo wako na ufundi wako.
Hili la damu kuwa na tatizo likoje mkuu,inaamaana Zama nae kakubaliana au ni maneno ya watu kuwa damu si nzur?
 
Hili la damu kuwa na tatizo likoje mkuu,inaamaana Zama nae kakubaliana au ni maneno ya watu kuwa damu si nzur?
Mkuu kama wangekuwa wapya tungehoji, hawa wameshazaa, na wanashare kitanda, wanayoongea kwenye pillow talk ni wao wanayajua😛
 
Back
Top Bottom