Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Atakuwa mhaya wa kwanza muislam
Naomba mwenye utaalamu na IPAD anishauri Kuna mtu Anatakakuniuzia IPad 3 wifi + cellular, je hii ninzuri?
Nimecheka sana khaaaaKale kadada katangazaji kembambaaaaa, kumbe mashine kubwaaa eeeh... kweli usidharau wembamba wa reli..!!
Kwa hiyo kanapiga kazi sana kati... sijaabu ungeona picha anakuwa kama msikaki kisha anakuwa kama nyoka... anakatika kabisaaa alafu anajiunga tena... Mkurugenzi anazimia na kufufuka tena...
Chezea chumba kina mengi wwe
Hahaa kweli penye wengi pana mengi nilikuwa sijafikiria hiliKachagua dini ambayo haitamgunga kuongeza mke, Ruge kuishi na mwanamke mmoja haiwezekani.
Hewala inalipa mno aaahaaaa unajifanya mjinga bwana anaangaika Weeh mwisho wa siku anakuona wewe wa maana huko kwengine mitusi tu...we kumbe akili kumkichwa...we unafikiri angeamua na yeye kua na hasira maisha yale angeyapata wp so bora kua mpole yako yakuendee
Te Te Te Te Te awafanyie Fiesta yaoSi
Sio watatembea kwa miguu kama wako.kwenye maandamano maana hata akisema awachukulie treni hawatatosha hahaha
Hili la damu kuwa na tatizo likoje mkuu,inaamaana Zama nae kakubaliana au ni maneno ya watu kuwa damu si nzur?Humu ndani ni kama deep sea, unaogelea kwa uwezo wako na ufundi wako.
Mkuu kama wangekuwa wapya tungehoji, hawa wameshazaa, na wanashare kitanda, wanayoongea kwenye pillow talk ni wao wanayajua😛Hili la damu kuwa na tatizo likoje mkuu,inaamaana Zama nae kakubaliana au ni maneno ya watu kuwa damu si nzur?
sawa na amesoma kunduchi Islamic kama sikosei na Shamsa Ford!Baba yake Zamaradi .alikuwa Sheikh
mmmmh wakora waitu
Hauna utamu alioukusudia.aksante kwa ushauri ila sijaamini kuachwa may be ni ubuyu tu
mh!!Hauna utamu alioukusudia.
Huna kitu mnato! kupo wazi ka pango la nguchiro.