Ukienda Nigeria, Zambia, Angola, Zimbabwe n.k hali ni tofautiHii Tanzania tu Pesa zote ziko kwa Waarabu na wahindi.
Nitakupa mifano
1. Mo
2. Manji
3.Bakhresa
4. Rostam
5.Abood
6. Shabiby
Vituo vya mafuta, Makampuni ya usafirishaji Mizigo na Abiria- 90% ni wao.
Anayepinga aje kwa hoja.
Na ulaya Sababu Nini? Maana Kila nchi lazma iwe na Sababu ya kuwa tajiri au kuendelea, hapa Africa tunakila kitu lakni hatuna maendeleo yoyote wao wanamafuta na gesi wameendelea Sasa Kwann unawajudge kuwa wapo wachache ndo maana wanamaendeleo?Sijawadogosha, nimeelezea sababu muhimu za utajiri na maendeleo ya makubwa.
Zanzibar yenye watu 1.5 milioni hawana utawala bora wala maisha mazuriWatu wengi wasiopenda demokrasia kila mara hupenda kutolea mifano ya nchi za uarabuni zenye raia wenye maisha bora sana kiuchumi pasipo kuwepo na utawala bora kwenye nchi zao. Watu wa haina hii hawazingatii mambo mawili kuhusu hizi nchi ambayo ni Utajiri mkubwa wa mafuta na gesi na idadi ndogo ya raia.
Kuhusu utajiri gesi na mafuta hili kila mtu analifahmu ila wengi hawajui kuwa hizi nchi zina idadi ndogo sana ya raia wake, chukulia mfano wa hizi nchi
Qatar-Laki 4
UAE- Milioni 1.3
Kuwait-Milioni 1.5
Oman-Milioni 3
Saudi Arabia-Milioni 19( Saudi Arabia ina ukubwa mara mbili na nusu ya Nigeria yenye raia milioni 230)
Wana hela nyingi sana hawa jamaa, mpaka nyingine wanatumia kufadhili makundi yenye itikadi kali kama Muslim brotherhood.GDP per capita ya $3500 ni ya kawaida sana. Qatar ni kama mkoa wa Kilimanjaro ila raia wake ni laki nne tu na ni nchi namba 3 kwa akiba ya wingi wa gesi duniani, iko top 20 kwa wingi wa mafuta duniani.
Ulaya sababu kubwa ya kuendelea kwako ni kutokana na maendeleo ya teknolojia mbalimbali, Uarabuni hawana akili za teknolojia ila wana pesa za kununua vichwa smart na teknolojia sehemu nyingine za dunia kuwaletea maendeleo kwa sababu pia ya uchache wa idadi ya watu.Na ulaya Sababu Nini? Maana Kila nchi lazma iwe na Sababu ya kuwa tajiri au kuendelea, hapa Africa tunakila kitu lakni hatuna maendeleo yoyote wao wanamafuta na gesi wameendelea Sasa Kwann unawajudge kuwa wapo wachache ndo maana wanamaendeleo?
Pesa wanapata wapi na wanapataje pataje hao waarabu nasisi uku afrika tupate?Ulaya sababu kubwa ya kuendelea kwako ni kutokana na maendeleo ya teknolojia mbalimbali, Uarabuni hawana akili za teknolojia ila wana pesa za kununua vichwa smart na teknolojia sehemu nyingine za dunia kuwaletea maendeleo kwa sababu pia ya uchache wa idadi ya watu.
Data zako za lini?Watu wengi wasiopenda demokrasia kila mara hupenda kutolea mifano ya nchi za uarabuni zenye raia wenye maisha bora sana kiuchumi pasipo kuwepo na utawala bora kwenye nchi zao. Watu wa haina hii hawazingatii mambo mawili kuhusu hizi nchi ambayo ni Utajiri mkubwa wa mafuta na gesi na idadi ndogo ya raia.
Kuhusu utajiri gesi na mafuta hili kila mtu analifahmu ila wengi hawajui kuwa hizi nchi zina idadi ndogo sana ya raia wake, chukulia mfano wa hizi nchi
Qatar-Laki 4
UAE- Milioni 1.3
Kuwait-Milioni 1.5
Oman-Milioni 3
Saudi Arabia-Milioni 19( Saudi Arabia ina ukubwa mara mbili na nusu ya Nigeria yenye raia milioni 230)
JF siyo sehemu ya porojo unapoleta habari lete na data siyo maneno matupu weka ushahidi ya hiyo kauli yako kuwa watu milioni 15 ambao wapo Saudia Arabia siyo raia.Milioni 19 ndio raia wa Saudi Arabia, hao wengine wageni tu.
Angalia ulivyokuwa punguani unaokota bandiko la June 1, 2023 unaleta JF.Kwa sababu wewe ni mvivu na una kichwa kizito ngoja nikusaidie tu
View attachment 3404163
Angalia huyu Mgalatia hahhaa Waarabu hawana akili lakini wana pesa mtu ambaye hana akili atapaje hizo pesa?Ulaya sababu kubwa ya kuendelea kwako ni kutokana na maendeleo ya teknolojia mbalimbali, Uarabuni hawana akili za teknolojia ila wana pesa za kununua vichwa smart na teknolojia sehemu nyingine za dunia kuwaletea maendeleo kwa sababu pia ya uchache wa idadi ya watu.
Ningeshangaa kama usingerukia kwenye udini.Angalia huyu Mgalatia hahhaa Waarabu hawana akili lakini wana pesa mtu ambaye hana akili atapaje hizo pesa?
Wewe una akilia bado unakunya kwenye shimo 😂
Wewe mwenye akili vijijini kwenu watu wanakufa na maradhi wewe hapo unaweza kuwa unaandika humu huku una UTI sugu.
Ikitokea nchi ikafuata sera za Uislam sawa sawa,uwezekano wa rasilimali kumilikiwa na raia 100%,ni zaidi ya 150%,na hii ndio vita kubwa Kati ya west na Islamic countries,.Rwanda population ni 13 millions.
Egypt population 118 millions.
Algeria population ni 44 millions.
Kuna nchi nyingi Africa mathalan Rwanda,CAR zina idadi ndogo ya watu ila hazina maendeleo,pia Kuna nchi kama Misri Ina watu wengi sana ila Ina maendeleo ya kiuchumi na kijamii.
Maelezo uliyotoa ni nje na fikra za kisomi na mawazo huru.
Utanisamehe ila umeropoka sana.
Nenda kazifuatilie hizo nchi mathalan Qatar,Nigeria imeanza kuchimba mafuta kabla hata ya Qatar ila Qatar imekuja kuendelea kabla hata ya Nigeria.
Nchi za kiarabu zinajijali na zina mfumo Bora ya uongozi ya kujali raia wake,hilo mnatakiwa mkubali, wenzetu Wana hadi baytul maal sehemu zinapowekwa Mali kwaajili ya kusaidia wasiojiweza.Nchi kama hiyo mnashindwaje kuendelea?
Pia wenzetu wanajua nini wanataka na wanajua namna ya ku allocate resources sehemu sahihi.
Hizo nchi mathalan Dubai zinaalikwa wabobezi wa uchumi na sayansi nchini mwao kutoka China na Ulaya ili kutoa mawazo na inawalipa vizuri.
Ninyi kaeni mezeni matango pori sijui ya demokrasia sijui ya ujinga gani.
Udini upo wapi hapo yaani wewe kutaja waarabu siyo udini mimi nimeuliza umesema Waarabu hawana akili sasa hizo pesa za mafuta na gesi wamezipataje? Jibu swali langu hamna udini hapo usikimbie kama hoja yako ukiwa na mafuta basi unakuwa na pesa vipi Nigeria?Ningeshangaa kama usingerukia kwenye udini.