Hao ni raia tu kuna wa kazi wengi sana nchi hizo, mfano UAE wanafika hata milioni 10, watu wenye Dini tofauti, makabila tofauti, rangi tofauti etc.
. Umuweke mwarabu, mhindi, mfilipino, Watu mbalimbali toka Africa, Wazungu wa Ulaya na Urusi etc wote wablend pamoja bila kusababisha fujo ama instability yoyote si jambo dogo,
Hata huko Saudia Population inafika zaidi ya watu milioni 30.
Angalia sasa hivi Ulaya immigrants kidogo tu wanaenda lakini tayari kuna instability na matukio kibao ila hizo nchi za kiarabu unaweza usafiri hata mwezi usifunge mlango na ukirudi hakujaibiwa.