Uchache wa idadi ya raia nimSababu kuu za nchi za uarabuni zenye maisha mazuri kwa raia wengi bila utawala bora

Ugalitia unaingiaje hapa kwenye huu uzi??
 
Ikitokea nchi ikafuata sera za Uislam sawa sawa,uwezekano wa rasilimali kumilikiwa na raia 100%,ni zaidi ya 150%,na hii ndio vita kubwa Kati ya west na Islamic countries,.
Huyu jamaa mada zake zimekaa ki negativity kabisa yani.
 
Saudi Arabia mafuta na gesi yote ni mali ya ufalme.
Mali za Saudi Arabia kimsingi zinamilikiwa na Mfuko wa Uwekezaji wa Umma (PIF),
Raia wa Saudi Arabia hunufaika na huduma mbalimbali zinazojumuisha ulinzi wa kijamii, afya, elimu na programu mbalimbali za usaidizi zinazotolewa na serikali. Huduma hizi zimeundwa ili kuhakikisha hali ya juu ya maisha na ustawi kwa raia wote.

Haya wewe na demokrasia yako Tanzania au huko Marekani na Ulaya hali za maisha yao uwezi kulinganisha na raia wa Saudia, au Qatar.

Mali za nchi za demokrasia zinamilokiwa na wanasiasa kila kundi linaopata nafasi ya kuongoza linakula likishindwa uchaguzi linakuja kundi lingine linakula nalo wanapokezana tu huku raia wakiwa na uhuru wa kuongea huku wana njaaπŸ˜‚
 
Kwa hao wanaokunya kwenye choo cha tundu na wewe ni moja wao au kama sio wewe ni ndugu zako kwa hivyo hauna unafuu.
 
Vipi raia wa Yemen na Lebanon mbona wenyewe huwasemei au na wenyewe ni wagalatia.
 
Kwa hao wanaokunya kwenye choo cha tundu na wewe ni moja wao au kama sio wewe ni ndugu zako kwa hivyo hauna unafuu.
Naona unatoa uharo tu hata sijui unataka kusema nini.
 
Hivi utawala bora ni nini..?

Unavyosema nchi za uarabuni mfano Qatar, Oman, Kuwait au UAE hazina utawala bora unamaanisha nini..?

Je, utawala bora ni Demokrasia ya magharibi na uhuru wa kuandamana?

Je, mpaka raia wapewe uhuru wa kumtukana kiongozi hadharani (mfano Kenya ) ndio utawala bora.?

Je, nchi zenye demokrasia kama Kenya, Nigeria, Zimbabwe, DR Congo Zina utawala bora..?

Tupe ufafanuzi kwenye hilo..
 
Hao ni raia tu kuna wa kazi wengi sana nchi hizo, mfano UAE wanafika hata milioni 10, watu wenye Dini tofauti, makabila tofauti, rangi tofauti etc.
. Umuweke mwarabu, mhindi, mfilipino, Watu mbalimbali toka Africa, Wazungu wa Ulaya na Urusi etc wote wablend pamoja bila kusababisha fujo ama instability yoyote si jambo dogo,

Hata huko Saudia Population inafika zaidi ya watu milioni 30.

Angalia sasa hivi Ulaya immigrants kidogo tu wanaenda lakini tayari kuna instability na matukio kibao ila hizo nchi za kiarabu unaweza usafiri hata mwezi usifunge mlango na ukirudi hakujaibiwa.
 
Algeria ni katika Nchi ya kuigwa Bara la Africa, jamaa wamejitahidi sana kudistribute keki ya Taifa,
1. Algeria kama Tanzania wamepigana nchi nyingi za Africa Zipate Uhuru
2. Wanasaidia mpaka Leo Nchi nyingi za Africa kusomesha Sayansi hasa Udaktari, wanafunzi 750,000 wanaenda kusoma Algeria kila mwaka, wengi bure kwa scholarship.
3. Gini coefficient yao ni chini ya 0.3 aka Europe level income distribution. Asilimia 20% ya matajiri wanamiliki asilimia 37 ya utajiri tu. For comparison Africa nzima matajiri 4 wanamiliki utajiri sawa na nusu nzima ya Bara.
4. Ukiangalia HDI level yao ni zaidi ya 0.7 nchi ya 3 Africa nzima nyuma ya Mauritius na ushelisheli

So huhitaji kuwa crazy rich ama population ndogo kudistribute keki ya Taifa.
 
Asipokuelewa hapo basi.
 
Utawala bora ni nini ?
 
Hizi Data za mwaka gani, ni za uongo sana
 
Pesa za hayo mataifa ni kwa ajili ya raia wake tu, sio hao vibarua na expatriates walioenda kufanya kazi kwa muda. Vibarua huko wanaishi maisha duni sana. Pia wahamiaji wa uarabuni wakifika nchi uarabuni hawalazimishi tamaduni zao kama waarabu wanavyolazimisha tamaduni zao kuzingatiwa wakiwa Ulaya au Marekani.
Mfano haijatokea wageni wakapigania pombe na kitimoto viuzwe kila kona uarabuni.
 
Algeria inapambana sana kupata demokrasia mwaka 2019 jeshi ilibidi limuondoe madarakani Rais Abdelaziz Bouteflika baada ya maandamano makubwa ya raia ya muda mrefu kutokana na utawala wake mbovu, jeshi la Algeria mara kadhaa limuwaondoa marais wa Algeria wanapoboronga. Algeria ni taifa ambalo linajitafuta sana kidemokrasia na utawala bora.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…