Uchache wa wanaume halisi, unasababisha wadada kugombania mahusiano.

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
33,679
Reaction score
49,841
Siku moja niliamua kuingia mtaani kushangaa shangaa uumbaji wa Mungu katika hii dunia.

Baada ya kuchoka kuzurura, nikaamua niingie kiwanja fulani kilichotulia ili niweze kutafakari yote niliyoweza kuyaona katika hii dunia.

Katika kuangaza angaza macho, ndipo nilipoweza kumuona mrembo mmoja amekaa kwenye meza peke yake, huku akipata kinywaji cha savana.

Ikabidi nimfuate, na kumuomba nikae nae ili niweze kuhitimisha mizunguko yangu kwa siku hiyo.

Baada ya kujumuika kwenye meza yake, tukawa tunaendelea kupiga pombe huku tukiongea mambo mbalimbali.

Ghafla, mrembo akanipa simu yake ili niweze kuandika namba yangu; nikaandika namba ila sikupiga; mara ghafla mrembo akachukua simu yake na kuanza kunipigia, huku akisema; ''nyie wanaume hamueleweki wakati mwingine mnatupa namba ambazo hazipatikani, sasa mimi nataka nithibitishe kama namba uliyonipa ni ya kweli''

Nilishangaa sana, akawa anaipiga mara mbili mbili, ili kujiridhisha.

Kwa spidi yake ile, nikajua nimepotea njia; muda ulivyokuwa unazidi kwenda ndivyo tulikuwa tunazidi kulewa.

Mara akaniambia, ''lazima leo twende wote, leo siendi kulala peke yangu mimi, muda umeshaenda''. Nikamtazama machoni na kumuambia, kwa leo haitawezekana, tufanye siku nyingine.

Mrembo akakataa na akazidi kuning'ang'ania; ndipo nilipoona suluhisho, ni kwenda kumpelekea moto tu.

Ikabidi tuondoke wote, pamoja na kwenda kumpatia tiba sahihi aliyokuwa akiing'ang'ania.

Ilipofika asubuhi wakati anaondoka, akapiga tena namba yangu ili kujiridhisha zaidi kama namba niliompa sio feki. Huku kichwani nikiwa nikitafakari namna ya kusitisha huo uhusiano wake kwangu.

Mara akaniambia, unaonaje mara moja moja niwe nakuja kukupikia, kukufanyia usafi, kukupa raha; nikaona huo ni mtego, nikamjibu kama kazi zitanizidi nitakutafuta.

Alipoondoka tu; nikamtoa kwenye mawazo yangu, kila akipiga simu sipokei; baadaye alichoka na tukawa tumeachana.

Ila yule mrembo; alikuwa ni king'ang'anizi sana.​
 
Hakuomba hela?
 
Back
Top Bottom