Uchache wa wanaume halisi, unasababisha wadada kugombania mahusiano.

Uchache wa wanaume halisi, unasababisha wadada kugombania mahusiano.

Mbona mnaotoa comment mnalazimisha namimi nionekane nasema mwamba amebeba malaya ila kwa style tofauti. Aaah sitaki dhambi bhana😂😂🙌
 
Ni kweli...

Kuna mmoja amejitahidi kila hali apate japo kabao kangu kamoja tu.

Imagine anajua nimeoa lkn anataka hata awe mke wa 2 hata kama dini haziruhusu.

Ushawahi kuona mwanamke anapost "Mama wanne" ilhali ana mtoto mmoja tuu? Ndiyo level aliyofikia.

Ni mwendo wa kukaa kimastar tu, mjini hapa.
 
Hivi inakuaje siku ya kwanza humjui mtu, hujui lolote kumhusu unampeleka kwako? Halafu unalala nae hadi asubuhi,halafu umemkuta bar..
 
ajabu yake wanaume tulio halisi hatupendwi, huu utafiti wako rudia maana wanawake wanapenda wale wa show time na pesa ya vocha (wanafanya biashara mamboleo) baada ya kulizwa wanaanza kulia kuwa hakuna wanaume
 
Back
Top Bottom