Wilhelm Johnny
JF-Expert Member
- Jan 13, 2016
- 1,368
- 1,325
Hii ndio tunanyweshwa uchafu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukienda kufungua kesi utapara manilioniiiii. .
Ukienda mahakamani ukunbuke kulipia ushauri wangu wa kiwakili niliokupa. .[emoji1787][emoji1787]Weee sio kwa usawa huu
Nilikuwa nataka sema hivi…huo ushahidi mzuri sanaaUkienda kufungua kesi utapara manilioniiiii. .
Bahati mbaya usikute alishaifungua..Ukienda mahakamani ukunbuke kulipia ushauri wangu wa kiwakili niliokupa. .
Haijafunguliwa na niliiacha huko barBahati mbaya usikute alishaifungua..
Dahh!!umeacha utajiri🤣🤣🤣Haijafunguliwa na niliiacha huko bar
Hii ilikuwa njia rahisi kutoboa keshaharibBahati mbaya usikute alishaifungua..
Alivyo kubwa jinga kaacha bar. Kuna mtu aliwahi kuta kidole kwenye chupa ya soda na aliaga umasikini mazima...Nilikuwa nataka sema hivi…huo ushahidi mzuri sanaa
Watu hawataamini, ila mambo haya yapo. Ukiwa na lawyer mzuri basi umetoboaAlivyo kubwa jinga kaacha bar. Kuna mtu aliwahi kuta kidole kwenye chupa ya soda na aliaga umasikini mazima...