Uchafu uliokithiri kwa wanaume na wanawake - njooni turekebishane!

Binafsi two-three days baada ya kumaliza ndio naweza kukutana na mwanamke. Uzuri wengi wao wapo wazi sana siku hizi, anakuambia "nimemaliza period jana, so tukutane", huwa navusha siku kadhaa. Harufu ya hedhi inachukua mda kukata.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…