Uchafu uliokithiri kwa wanaume na wanawake - njooni turekebishane!

Binafsi two-three days baada ya kumaliza ndio naweza kukutana na mwanamke. Uzuri wengi wao wapo wazi sana siku hizi, anakuambia "nimemaliza period jana, so tukutane", huwa navusha siku kadhaa. Harufu ya hedhi inachukua mda kukata.
Hiyo smell ya uumbaji siipendi kabisa,I hate it to the limit
 
Tumia uzi huu kama kujifanyia usafi jumapili hii:
  1. Tupa boxer au chupi zako zilizochanika.

  2. Fua taulo, mashuka na maforonya yaliyobadilika rangi hapo kitandani kwako.

  3. Mwanamke, punguza hayo mavoozy (sawa bebi wako anayapenda yawepo, ila si lazima yawe marefu kama msitu wa magwepande, yakizidi lazima unuke).

  4. Mwanaume, nyoa hizo nywele zenye ukurutu kwapani ambazo zimebadilika rangi hata ukioga harufu ya jasho haiishi.
Namba 3 hapo mhimu ni usafi tu,yanaraha yake hayo 😄😂😂👆
 
Hiyo smell ya uumbaji siipendi kabisa,I hate it to the limit
Inahitaji mwanamke awe msafi sana, na vile ni kitu cha asili tuneumbiwa wala haina shida. Ndio maana mdada akija halafu hataki kujimwagia maji kabla, yaani anashangaza...ametembea, amepanda usafiri, ametoa jasho, hata kama alioga kabla ya kuondoka home, muhimu sana kujipiga maji kidogo kuweka mambo sawa.
 
Namba 3 hapo mhimu ni usafi tu,yanaraha yake hayo 😄😂😂👆
So yawe marefu kama msitu wa magwepande.
Kwamba, maku 🍑 yote imefunikwa, ukitaka kuiona unaanza kuyafunua mavoozy kwanza kuitafuta au? 🤣 🤣 🤣
 
Inahitaji mwanamke awe msafi sana, na vile ni kitu cha asili tuneumbiwa wala haina shida. Ndio maana mdada akija halafu hataki kujimwagia maji kabla, yaani anashangaza...ametembea, amepanda usafiri, ametoa jasho, hata kama alioga kabla ya kuondoka home, muhimu sana kujipiga maji kidogo kuweka mambo sawa.
Hapa nakubaliana na wewe 💯

Ila nililetaga uzi humu, wanaume wakasema kwamba sijui mtu akioga inapoa.
 
Binafsi two-three days baada ya kumaliza ndio naweza kukutana na mwanamke. Uzuri wengi wao wapo wazi sana siku hizi, anakuambia "nimemaliza period jana, so tukutane", huwa navusha siku kadhaa. Harufu ya hedhi inachukua mda kukata.
Mimi baada ya hedhi najishtukia sana, lazima nisubiri mpaka zile discharge za brown ziishe.
 
Back
Top Bottom