Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,052
- 36,866
- Thread starter
- #141
Nimekugusa mahali pako nini?umeandika kwa hisia sana
Nimekugusa mahali pako nini?umeandika kwa hisia sana
Inakata sana 😒 😅Hiyo mbaya sana
Siyo puani mami, unaweka 🥒 mdomoni ila kama kunatema si harufu puani inakufikia!Wengine pua zetu zishatanuka naturally ,wakiweka na mzigo si tutatisha zaidi jamani
Biashara matangazo 🤣 😅Niko serious, mwambie pia kutakuwa na happy ending ya nguvu kama akihitaji, malipo ni punguzo kubwa la bei 100k tuu.
Kama akikubali nambie nikutumie Namba yangu chap
Sawa 👍Mwanamke akiwa mshamba anakera sana basi tu
Sijui kwa habari ya wachunga ngombe wa kiume
Hichi kingereza 👆, hebu tutafsirie kwa kiswahili tuelewe vizuriTo be evolve, i hate before da E
Sana af kama wew unavyo vutia ivyo nikute mchafu 😂Inakata sana 😒 😅
Kuna demu aliwahi kuniuliza kwani we hupendi? Nikaona nishajichanganyaNimekugusa mahali pako nini?
Haa haaa, 👇 vile utatoka nduki kuja kunishushia nyuzi 🤣Sana af kama wew unavyo vutia ivyo nikute mchafu 😂
Sawa, badili ID hiyo, uje utoe ya moyoni 😎Ngoja nibadilishe jina.
Haa haa, si ungemwambia ukweli tu?Kuna demu aliwahi kuniuliza kwani we hupendi? Nikaona nishajichanganya
😂😂😂Duuh..... muoshe shemeji kabla ya kwichikwichi mshauri muende bafuni.
Muoshe chini ya pumbu maana pakiachwa panaharufu kali saana na kuchamba atumie maji sio tissue tu.
Kwanza weeknd hii ujeHaa haaa, 👇 vile utatoka nduki kuja kunishushia nyuzi 🤣
View attachment 3420400
SanaaaWanawake wa zamani walikua wanajua usafi haswa.
Pole kwa kumkosa bibi!
🤣 🤣 🤣Fanya hvy mkuu, masuala ya kufa niachie mm mwnyw ntashughulika nayo
In fact alitawaza,lakini bado kitu ilipita kwa pua zangu baada zoezi kwenda dakika nyingi ikapita whole smel,real,woooh,down to earth!!!Inahitaji mwanamke awe msafi sana, na vile ni kitu cha asili tuneumbiwa wala haina shida. Ndio maana mdada akija halafu hataki kujimwagia maji kabla, yaani anashangaza...ametembea, amepanda usafiri, ametoa jasho, hata kama alioga kabla ya kuondoka home, muhimu sana kujipiga maji kidogo kuweka mambo sawa.
Asante sana kwa kuwakumbusha na kuwaelekeza namna ya kujisafisha.Safisha Kinywa Chako kwa Usafi na Heshima ya Wengine
Ni muhimu kuzingatia usafi wa kinywa. Wakati mwingine mtu anapokuzungumzisha, harufu inayotoka mdomoni mwake inaweza kukufanya uhisi kana kwamba ni gari la kubeba taka la Manispaa limepita karibu.
Usikubali kuwa chanzo cha hali hiyo.
Vidokezo vya Kudumisha Usafi wa Kinywa:
Kumbuka: Usafi wa kinywa si kwa ajili yako tu, bali pia ni heshima kwa wale unaowasiliana nao kila siku.
- Piga mswaki angalau mara mbili kwa siku – asubuhi na kabla ya kulala.
- Tumia dawa za meno zenye viambato asilia na ufanisi kama Aloe Vera ili kudhibiti harufu mbaya na kuimarisha afya ya fizi; hizi dawa zetu nyingi hazina uwezo mkubwa. Nunua hata dawa za gharama kama AloeVera za 15k tzs.
- Safisha nafasi kati ya meno yako kwa kutumia nyuzi za meno (floss) zinazopatikana kwenye maduka ya dawa.
- Ikiwa mnuko wa kinywa unajirudia haraka, tembea na tumia karafuu au dawa za kusukutua mdomo ili kudhibiti harufu kwa haraka.
Naomba utuelezee vizuri hapa kwenye aina ya viatu pia.Heshima ya mtu inaangaliwa kwa usafi wake wa kinywa na aina ya viatu anavyovaa!
Ndio mkuu ila Ww nakufanyia bureBiashara matangazo 🤣 😅