Uchafu uliokithiri kwa wanaume na wanawake - njooni turekebishane!

Uchafu uliokithiri kwa wanaume na wanawake - njooni turekebishane!

Hapa nakubaliana na wewe 💯

Ila nililetaga uzi humu, wanaume wakasema kwamba sijui mtu akioga inapoa.
Ukiona mwanaume wako anakuvaa mazima kabla ya wewe kujipiga maji ujue anakujua, anaujua usafi wako. Kuna wanawake hawana shida hata asipooga bado kitenesi kipo poa tu.
 
Asante sana kwa kuwakumbusha na kuwaelekeza namna ya kujisafisha.

Naomba utuelezee vizuri hapa kwenye aina ya viatu pia.
Aina ya viatu mtu anavyovaa huweza kutoa taswira ya hulka au mtazamo wake juu ya maisha.

Wanaovaa viatu vya michezo (sneakers) huonekana kuwa watu wa kisasa, wanaopenda uhuru na urahisi, huku viatu rasmi kama Oxford au stilettos vikionyesha mtu makini na anayejali heshima na hadhi.

Viatu vya ngozi vya kisasa kama buti huakisi mtu jasiri na mwenye msimamo, ilhali viatu vyenye rangi kali au mitindo ya kipekee huonyesha ubunifu na ujasiri wa kujieleza.

Sandals/makubazi au kandambili huashiria mtu mpenda amani, anayethamini urahisi zaidi ya mwonekano, lakini pia mtu wa ibada huku viatu vilivyochakaa soli imepinda au visivyoendana na mazingira vikieleza uzembe au mtazamo wa kipekee wa kupuuza mila na mitazamo ya jamii.

Ingawa si sheria, viatu ni alama ndogo inayoweza kufichua mengi kuhusu mtu fulani.

Kwa wadada vivyohivyo aina ya viatu huweza kumthaminisha!
 
Kuna watu hamna aibu jamani, binafsi hakuna kitu kinanikata kama mwanaume mchafu. Yani mtu akikuelekezea kwapa au tupu yake usoni unaweza kupiga chafya mpaka upaliwe.

Na kwa wadada, malalamiko ni mengi, wanasema papuchi zinatoa harufu kama vile mnazitumiaga kuanika dagaa.

Mambo gani ya uchafu uchafu ulikutana nayo huko faraghani au nyumbani kwa mpenzi au mwenza wako yakakushangaza au kukukera?
Iwe ni mwilini mwake au mazingira yanayomzunguka.


Tiririka tujifunze!

View attachment 3420211
Huyu Binti wa zamani amekutana na mengi sana, ni legend.
 
Wapo baadhi ya Wanawake wanajali na kutunza miili yao ipasavyo

Kuna mmoja niliwahi date naye Mwaka 47, alikuwa anaifukiza udi kule Chini

Yaani muda wote inanukia tu

Isingekuwa kutajiwa mahari kubwa, huenda angekuwa Mke wa nne hakiyanani
Mahari walitaka utoe ng'ombe wangapi mkuu?
 
Mi nashauri wanawake wawe wanaoga mara mbili kwa siku.
Yaani asubuhi na jioni/ usiku.

Sasa unakuta kuna mwanamke anakata siku mbili hajagusa maji surely🤔
 
Back
Top Bottom