Bodi ya maji iko correct ingawa wataadhibiwa kwa kutoa majibu kinyume na matakwa ya watawala. Watawala wangependa majibu yao yaendane na yale ya Kamati ya Profesa Manyele ili kuwa uwajibikaji wa pamoja.Bodi ya maji ilisema kuna mafuta,repoti ya tume maalumu inasema ni kinyesi cha ng'ombe.
Tumwamini nani.
Waadhibiwe Kwa kosa Gani, wenywew walitoa ripoti mapema hata kabla ya kamati. Walifanya Kazi Yao.Bodi ya maji iko correct ingawa wataadhibiwa kwa kutoa majibu kinyume na matakwa ya watawala. Watawala wangependa majibu yao yaendane na yale ya Kamati ya Profesa Manyele ili kuwa uwajibikaji wa pamoja.
Kama walitoa kabla, wapo salama.Waadhibiwe Kwa kosa Gani, wenywew walitoa ripoti mapema hata kabla ya kamati. Walifanya Kazi Yao.
Kila mmoja ashinde mechi zake. Hkuna uwajibakaj wa pmoja..