Ivan conspicuous
Senior Member
- Jun 19, 2022
- 103
- 83
Sisi wenye vigezo stahiki tumefanyiwa maagizo ya usaili hapa kata ya kivule wilaya ya Ilala na kufutiliwa mbali wakati namba 174. Yusuph Nyansika Getema (mtoto wa Diwani kata ya kivule) mwenye namba ya simu 0655 700 002 karani wa sensa ni miongoni wa wale watakaohudhuria sensa KESHO pale shule ya Sekondari minazi mirefu! Kumbe hii ni sensa ya watoto wa wanaccm wenye vyeo vyao ndani ya ccm na si sensa ya wananchi.
Mwalimu Nyerere aliwahi kusema " chagueni mgombea atakaekidhi matarajio ya wananchi na si matarajio yako wewe mpiga kura -1995". Mchakato wote wa sensa umeghubikwa na rushwa na upendeleo wa viwango vya kutisha kwa kuwabeba watoto wa viongozi/watawala.
Sijafahamu kama ni maelekezo ya Mkuu wa wilaya ya Ilala, kamisaa wa Sensa Anna Semamba Makinda au n nini hasa?. Mimi wakati yule mama ananiuliza maswali ya kinafiki na kipumbavu kuwa "unaweza kufanya kazi sehemu yoyote utakayongiwa?. Nikajibu "ndyo" ila cha ajabu na cha kusikitisha alikuwa hana sehemu yoyote anayoandika jina au orodha ya majina ya wasaili kumbe kulikuwa ni kiini macho tu. Ninyi watawala, endeleeni kugawana nafasi za kila nafasi inayopatikana ila mwisho wenu unakaribia.
Naamini mama SAMIA SULUHU Hassan hajawatuma mjichague wenyewe na kuacha watu wengine Tena wenye sifa sinazostahili. Huyu kijana wa Nyansika Getama ni lazima achunguzwe ni kwa namna gani ameingizwa kwenye sensa hata Kama atakuwa na vigezo vinavyotakiwa na ni lazima ifahamike na kueleweka ni kwa nini wengine wenye sifa wameenguliwa bila hata maelezo! Ni usaili gani ambao Mkuu wa wilaya anauita watu waliofaulu usaili? Kulikuwa na usaili pale zaidi ya maigizo kumbe tayari mna majina tayari kwenye bahasha na suruali zenu?