Elections 2010 Uchaguzi 2010: CHADEMA jifunzeni siasa za kisasa!

watu wengine bwana,jina lako tu linaonesha unacho fikiria!
Thanks ila tuna utupa kule ushauri wako
 

Hahahaaaaaa, du! next time naona jamaa ata THINK TWICE kabla ya kutoa maoni
 


Pole sana. Sidhani kuna mvivu wa kufikiri humu. Wengi wetu wanajua wazi kwamba hii ilikuwa ni pretext ya kumngóa Mr. Sita.
 
watu wengine bwana,jina lako tu linaonesha unacho fikiria!
Thanks ila tuna utupa kule ushauri wako

- Wanapotupa ushauri huko unakosema hua hawasemi wanatupa tu, ukiona ushauri unajibiwa kwa matusi na kejeli ujue kuna mtu amefikiwa na ujumbe, ukiona ushauri unakubalika kwa kirrahisi rahisi ujue una walakini huo, karibu sana mkuu!


William.
 
tatzo ni uwezo mdogo na uelewa mdogo wa wanawake katika siasa.
 
Just few days ago ww ulikuwa unampigia domo/ campaign humu JF demu ya Baba yako Anne Kilango, sasa kashindwa unaspin kuleta upupu CHADEMA, CCM wote useless, we have big memory nenda mitaani wadanganya hapa huzunguki mtu, nilisema early Kilango hafaiii, Eti unakuja na CHADEMA hawajali wanawake, ww unatokaga kulala au ur dreaming ndio unapost threads zako, they are too low, but i know ur problem, umekulia CCM so u have CCM hysteria, kweli mtoto wa Fisi ni Fisi, u r short sighted
 
ni kweli kabisa hata na wanawake wengine wa kule mwanza na shinyanga walizuiwa na waume zao wasiende kupiga kura kwa hofu ya kuipigia ccm wakati waume zao ni chadema!!!!

hii inasikitisha kabisa kwani wamewanyima wanawake wengi haki zao za kikatiba za kuchagua chama wanachokitaka!!!
 

Kumbe nawewe ulishiriki uchakachuaji? umejuaje kama wanawake wengi walimpigia kura Mkwere?
 

- Mkuu ya Mama kilango hayahusu nilichotetea ni haki yake kuchukua fomu kama alichukua, ukweli ni kwamba alichukua lakini asingeweza kushindana na best wake wa harusi Mama Makinda hivyo alirudisha mapema kabla ya uchgauzi kufikia, hope umeelewa hapo hayo matusi yote uliyorusha ni kufurahisha baraza tu halafu ni mambo ya territory hakuna jipya hapo! ha! ha! ha! karibu sana!

- Naona hukugusa kabisa ushauri wangu kwa Chadema kwamba ni wakati wa kuwajumuisha kina mama kwenye uongozi wa juu wa taifa wa chama chao, ndio siasa za kisasa, pole sana kwa kukukwaza na ushauri wangu, lakini ndio Demokrasia hiyo mkuu!

- Again ukiona ushauri unapokelewa kirahisi rahisi ujue hauna tija huo, ila ukiona kama unavyooona hapa ujue la mgambo hilo lina jambo ha! ha! ha!



William.
 
kkwa nini yasihusu aisee.... sema jamaa kakuambia .[/QUOTE]u r short sighted.[/QUOTE] hes right
 
kkwa nini yasihusu aisee.... sema jamaa kakuambia .
u r short sighted.[/QUOTE] hes right[/QUOTE]

- Well unaweza kusema anything you want, lakini we can always set the truth straight Mama Kilango ni public figure tena on her own rights kwa hiyo kumzungumzia inakubalika! ha! ha! ila iwe kwa yanayomuhusu, yasiyomuhusu utasaidiwa kueleweshwa! ha! ha! naona ujumbe umefika maana umeshaanza kuhangaika hangaika ha! ha! ha!

William.
 
- Kama unayaamini haya uliyoandika hukuwa na sababu ya kujibu mkuu, lakini umesikika sana!.

William.

@William,
Nazani ww ni sehemu ya wavurugaji na watu wasio fanyia tafiti issues kabla ya kuzijadili maana nakuona kama mumbeya fulani!!!!!!!!!!!!!!
 
CCM bana, kazi kwelikweli.................

Kwanza nikusalimie, Mbukwenyi .................

Ila sasa na nyie msilete maneno ya wanawake kutishika hapa.

Mbona sisi Wanaume wa upinzani tunatishika ila hatusemi?

 
@William,
Nazani ww ni sehemu ya wavurugaji na watu wasio fanyia tafiti issues kabla ya kuzijadili maana nakuona kama mumbeya fulani!!!!!!!!!!!!!!

- Ha! ha! ha! naona utafiiti wako mkuu hapa ha! ha! ha! unaona unavyohangaika ha! ha! ah!


William.
 
CCM bana, kazi kwelikweli.................

Kwanza nikusalimie, Mbukwenyi .................

Ila sasa na nyie msilete maneno ya wanawake kutishika hapa.

Mbona sisi Wanaume wa upinzani tunatishika ila hatusemi?


- Mkuu sana heshima yako! naona ujumbe na wewe umekufikia sawa sawa karibu sana mkuu!

William.
 

Bill,

Kawashauri kwanza Wajomba zako ndani ya CCM ili watambue madhara na athari wsababishazo kwa kuiba dawa za watoto akina mama wajawazito na walalahoi wote Tanzania.
Ukifanikiwa katika zoezi hilo ndiyo uje hapa JF kutoa ushauri utokanao na uzoefu wa zoezi hilo.

Other wise your contribution here in JF is the same as differenciating a constant.
 
Malecela aka william maana ya forum ni kutoa hoja (constructive one) na kuwapa wanajamii wachangie sio kujibizana kama mipasho ya taarabu. Please make up this character of uas
 


- Mkuu vipi kwani wewe ni msemaji wa Chadema? au JF maana unatoa maneno na authority sana vipi? Ushauri nimewapa Chadema wewe umekukutaje mkuu?
Au ndio yale yale yaani ujumbe umefika, halafu fungua topic ya dawa za wagonjwa na CCM au?

- Maana hii topic inahusu mengine kabisaa! ha! ha!



William.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…