SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Kwani ukiwa mwanachama wa CCM na vyombo vyako vya habari vinakuwa wananchama wa CCM vile vile? Havitakiwi kuwa OBJECTIVE?
Kama kuna EVIDENCE kwamba viongozi fulani wameiba mali ya umma, au wamekutwa na nyara za seriakli, na wewe ukaamuru magazeti yako au TV yako iwapigie kampeni, basi wewe ni FISADI.
Kama Mengi angeipenda Tanzania kweli basi angeagiza vyombo vyake vya habari viwe OBJECTIVE.
It's time to boycott Mengi's papers, radio and TV. Ni vyombo vya mafisadi.
Ndiyo maana fisadi mwenzake RA alimvika cheo cha FISADI NYANGUMI, hawa wote wanastahili kupigwa risasi kwani ufisadi wao umesababisha maafa kwa mamilioni ya watz
Niliposoma madai kuwa mengi siyo mwema kama anavyoonekana,kupitia maandiko ya mwl.mkuu wa watu,sikuelewa.sasa nimekubali kuwa mzee huyu ni mnafiki mkubwa.magazeti na tv zake ni wapenzi wa kampeni za mafisadi.kumbe kweli mbwa mwitu huvaa ngozi ya kondoo