Elections 2010 Uchaguzi 2010: ITV sasa imekuwa chombo cha CCM?

Elections 2010 Uchaguzi 2010: ITV sasa imekuwa chombo cha CCM?

Kwani walianza leo kufanya hivyo? Mbona tumeshawaoea? Mimi wala sijisumbui na ITV! Ulitarajia muujiza gani? ITV = CCM! End of story!
 
hata TBC ndiyo tabia yao HABARI za ccm wanazisoma sana
 
Vyombo huru cha habari TZ ni Redio Maria na Cheche za Fikra! I wish kungekuwepo TV Maria na TV Cheche za Fikra
 
nkubaliana na wewe kwa asilimia zote mkuu.
TBC hawana haki ya kuelemea chama kimoja kwa sababu ni tv ya Taifa ipo kwa manufaa ya Taifa na si chama.

Hakuna sheria inayozungumzia conduct ya media wakati wa uchaguzi, na ukiangalia kwa undani unaweza kuanzisha media ukaitumia kujipigia campaign. CCM walimuweka Tido kwa makusudi kabisa, and he is serving them.

Kama unalalamikia hilo lipelekwe bungeni, liwekewe sheria na tume ya uchaguzi jifahamu conduct ya media wakati wa uchaguzi.
Tunatakiwa kuwa realists. Kisheria jeshi, polisi, tume ya uchaguzi, ofisi ya msajili wa vyama na media, hawatakiwi kuchanganya profession zao na siasa. Media wanatakiwa kutoa nafasi sawa kwa vyama. katika Hali halisi vyote hivyo vina serve CCM, so get used to it or deal with it.
 
Tunachotakiwa kufanya ni kuwaelimisha hao wanyonge waache ku support ufisadi ambaye ni adui yao mkubwa labda hao waliokuwa kwenye harakati za kuwatetea(kupiga vita ufisadi) wanaweza kuacha kukaa kimya.
 
nasikia Mzee Mengi anafikiria kubadili jina la kituo chake hicho cha TV kukiita CTV (CCM Television) badala ya ITV (independent Television)! Hakiko huru kabisa!
 
Sisi hatutaki Mengi aikane CCM yake la. Aendelee kuwa mwanachama wao na mchangiaji wao mkubwa. Tunachoomba ni kwamba kituo chake hicho kiwe neutral ili kionekane kinafuata maadili. Si muda mrefu sana huko nyuma Mzee Mengi alikuwa analalamikia ukosefu wa maadili katika vyombo vya habari pale baadhi ya magazeti na vyombo vya habari vilkuwa vikimpa kipondo -- hasa baada ya kuwataja mfisadi papa. Channel 10 na TBC1 vikiwa vituo vya TV vimojawapo. Leo hii Channel 10 kuonekana angalau ni neutral -- pamoja na kwamba mmoja wa wamiliki wake ni wale mafisadi papa -- hakumshangazi Mzee Mengi?
 
Something more than can meet the eye!! hivi mliona uzinduzi wa Kampeni za CUF ulivyo onyeshwa IN DETAILS NA TBC. Kwa wale mliongalia taarifa ya habari jana Kupitia TBC mtakubaliana na mimi.
Hiki chombe kweli ni sisiemu. nasema na sitaogopa. Wanajua kabisa Lipumba hana Nguvu ya Slaa. Wanapompa Lipumba Nguvu ambaye wanajua kabisa nafasi yake ya kuchukua Uraisi ni sawa na ngamia kupita katika Tundu la sindano, Ni njama ya kugawa kura za Upinzani ili chama tawala kipite kilaini.
Na pia nimeanza kuamini linaloongelewa kuhusu ndoa ya CCM na CUF na lengo lao ni nini!
For your information guys, Watanzania we are gone. Mbinu chafu za CCM zimeshatu overtake. Nyie CCM endeleeni kututesa tu. Lakini ipo siku Tu.
CUF ni chama cha upinzani tu kama kilivyo chadema, na wewe mapenzi yako kwa chadema yasifanya wapenzi wa CUF kukosa habari. Kuna kosa gani CUF kuoneshwa kampeni zake? Ingekuwa chadema kama leo inavyooneshwa ungelalamika? wewe hutaki CUF ioneshwe kwenye kampeni ila chadema tuu? hapa ndo ninapodraw conclusion kwamba chadema ni chama cha kuogopwa kama ukoma, kama hata wapinzani wenzake hakiwataki kwanini tusikiogope? kwa nini tusiseme ni chama cha kanisani? Kwa staili chadema kwenda ikulu, no please. pale si madhabahuni.
 
Mengi ni kumchongea tuu kwa ile media council ila TBC bakora yao ni mimi na wewe bse kodi yako na yangu ndo inaendesha ili shirika.
Tatizo TIDO analipa fadhila za JK baada ya kumpigia debe.
Ngoja Slaa apite utaenda kulima kwenu
 
Leo katika habari saa 2, wameonesha Jk tu katika stage yake akihutubia, wasikilizaji/audience hakuoneshwa hata mmoja, isipokuwa tu waliokuwa nyuma, yaani hapo jukwaani. Yawezekana wameepusha kitu fulani tusione. Labda idadi yao haikuwa na mvuto katika TV, ITV vipi, mmenunuliwa?
 
Tupo wengi mkuu, ukweli ametukwaza sana, ametusonenesha sana, na anatia kinyaa harakati zote alizoonyesha hapo siku za nyuma

Mengi ni kumchongea tuu kwa ile media council ila TBC bakora yao ni mimi na wewe bse kodi yako na yangu ndo inaendesha ili shirika.
Tatizo TIDO analipa fadhila za JK baada ya kumpigia debe.
Ngoja Slaa apite utaenda kulima kwenu


kuna siku moja umma utawaonyesha njia yao
 
Tatizo ni Madaraka ya Rais Tanzania... Owner wa ITV ni Business Man kila business anayotaka ili aendelee kibiashara sasa hivi anashindwa... Rasilimali zote alizopata ilikuwa wakati wa Nyerere na Mwinyi. Sasa hivi hakuna usawa lazima uwe mnynyekevu wa CCM
1. Alikosa Kilimanjaro hotel... well wakati wa mwisho wa Madaraka ya Mwinyi
2. Naona Amekosa Kutangaza mchezo wa soccer ya Tanzania kwenya ITV

Hapati Haki; so amekuwa Gurudumu la CCM... I have stopped reading his Newspapers Online... for the better of his publishers and editors... his news sucks...
 
Mnaweza kusaidia kwa kuwaandikia ITV malalamiko kwamba wanachofanya si sawa. Waumbueni.
 
Hata Magazeti ya shigongo ya "global publishers"... ni watu wa kampeni za CCM
 
Wachagga wapumbavu:

1. Augustine Lyatonga Mrema

2. Reginald Abraham Mengi

3....
 
Usiseme Sisi Wachagga ni Wapumbavu...

Well Mengi is a business Man na nchi kama Tanzania Chini ya Undugu wa CCM you cannot get any reliable investment
Angalia he tried to buy Kilimanjaro Hotel, Madini no luck the only alternative is to go and lay down and say ndio ndio kwa CCM.

Acha kashfa ya kuita watu wapumbavu... it is a survival... I don't blame him... hivyo ndivyo inchi inavyoendeshwa...

Simpendelei sababu mimi sisomi magazeti yake online... kwasababu ni upupu...
 
Wachagga wapumbavu:

1. Augustine Lyatonga Mrema

2. Reginald Abraham Mengi

3....
Kama unavyosema Mrema na Mengi wapumbavu ndiyo unataka ku generalize wachaga wote wapumbavu,Next time jaribu kutumia akili kabla ya kupost upupu.
 
Hata Magazeti ya shigongo ya "global publishers"... ni watu wa kampeni za CCM

TUJIKUMBUSHE HUKO NYUMA KATIKA MMOJAWAPO YA CARTOON KUTOKA MAGAZETI YA KENYA
Gado.jpg
 
Back
Top Bottom