Acheni chuzi zenu binafsi Kibonde wa watu mnamchukia tuu bure! mi nadhani wengine hapa mnamchukia kwa sababu labda aliwahukulia marlfriend wenu au mlimtaka akawatolea nje n.k ...hizo ni chuki binafsi....kibonde kaajiriwa na katika hicho kipindi anatakiwa aweke na ukomedian ndani yake sasa kila mtu ala kazini kwake jamani!! hebu mwacheni Kibonde endeleza libeneke usiogope umeandikwa kwenye jamiii we endelea baba tuko pamoja....folen ya bongo lo tunaweza kusinzia huko manjian tukagonga magari yetu...well done Kibonde....big up bro tena jioni tukutane samaki samaki tupate moja mbili bariidiiii waache waendelee kubwabwaja tuu hapa jamiiii....
great sinker in action... sinkingAcheni chuzi zenu binafsi Kibonde wa watu mnamchukia tuu bure! mi nadhani wengine hapa mnamchukia kwa sababu labda aliwahukulia marlfriend wenu au mlimtaka akawatolea nje n.k ...hizo ni chuki binafsi....kibonde kaajiriwa na katika hicho kipindi anatakiwa aweke na ukomedian ndani yake sasa kila mtu ala kazini kwake jamani!! hebu mwacheni Kibonde endeleza libeneke usiogope umeandikwa kwenye jamiii we endelea baba tuko pamoja....folen ya bongo lo tunaweza kusinzia huko manjian tukagonga magari yetu...well done Kibonde....big up bro tena jioni tukutane samaki samaki tupate moja mbili bariidiiii waache waendelee kubwabwaja tuu hapa jamiiii....
........niliacha kusikiliza kipindi cha jahazi kwa sababu ya Kibonde. I may resume tuning it on when he leaves broadcasting it. Kama kuna jambo analoshabikia huwa anachonga sana...mbaya zaidi huwa anatawaliwa na majungu zaidi,hapati muda wa kufanyia utafiti jambo. Kuna namna nyingi za bootlicking ila ya huyu Kibonde imezidi.
.....hey...hold on a second.....his name is Kibonde.....in swahili it sounds something numb,something brainless,....isn't it?
Kwani yeye Kibonde nani mpaka asijadiliwe.Na kama anatafuta umaarufu kwa lazima ndio ameupata sasa.Hapa ma griit thinkaz wanamjadili Kibonde...............!!!:confused2::confused2::confused2:
Long Live JF!!
Kwani yeye Kibonde nani mpaka asijadiliwe.Na kama anatafuta umaarufu kwa lazima ndio ameupata sasa.
Mpka ajirekebishe na tabia zake......na wenye moyo ni pamoja na wale wanaoelewa athari za maneno katika jamii.......Hivi kumbe anaweza kumaliza muda mwingi namna hii wa magriit thinkaz kumjadili?:confused2::confused2::confused2:
Kweli nchi itajengwa na wenye moyo..... Mkimmaliza Kibonde tafadhalini anzeni na mjadala wa kumjadili Asprin:welcome::welcome::welcome:
wala usimuonee huruma, ngoja tusubiri ile sheria ya maambukizi