Uchaguzi 2020 Uchaguzi 2020: CCM anapambana na nani?

Uzi mzuri Mkuu nami niseme upo smart
Sio kama wengine wanao kaa kusifia na
Huku kutwa kuiponda vyama vya upinz
ani hasa chadema
 
No Wenda magu ni smart president ila
Chama alichopitia kina shida so ushauri
Wangu ageuze mawazo angombee mwa
ka huu kupitia chadema aiache ccm isem
wayo ina wenyewe na sijawai elewa ka
ma ni wanachama au kikundi cha watu
 
Ukiwasubiri akina Bia Yetu, Mudawote, Coccochanel, Magonjwamtambuka, Stroke, Rejao,USSR, Simiyu Yetu na wengine wengi!
Sidhani kama wanaona hii tahadhari kubwa iliyo Mbele yao. Maana wao wamekaa kuharibu mada Nzuri tu zinazorushwa humu.
Wako humu for a special mission, which is kuharibu mijadala makini na huru.
 
To be honest kwa awamu hii ya 5, ujenzi wa miondombinu wamejitahidi ila kwa makundi Mengi ikiwemo Wakulima na wafanyakazi hao ndo wana majonzi sana na awamu hii. Wakulima na wafanyakazi wao wanasubiri mtu atakayekuja na sera za kunadirisha maisha yao na kuwajali na wakipata support kwa kundi la 2 la watu wa system wasioridhishwa na mwenendo was Serikali ya awamu ya tano basi lolote laweza kutokea
 
Magufuli alishapiga marufuku siasa kwa hiyo saaizi ni maagizo tu yakwakwe yamebaki nani awembunge wapi na kila kitu.....NGOJA WAPIGA DEBE WA lumumba wameanza kupata suluba safi sana hii......

MAENDELEO HAYANA VYAMA lkn MIMI NASEMA UDIKTETA HAUNA VYAMA!!!!
 
Hivi unafikiri Mf. Mwenyekiti wa Tume alitangaza mgombea ni wa upinzani, Magufuli atafanya nini?

Ndio Magufuli ni raisi na amiri jeshi Mkuu ila October wakati wa kuhesabu kura anakuwa Sawasawa na wagombea woteee. Na endapo akitangazwa mgombea mwingine tu kuwa mshindi Hapo ndo utaona rangi halisi ya watanzania na wasaidizi wake.
Kwa haraka tu hapo kubaki kwake kunatokana na foreign support both kutoka kwa majirani zake na wakubwa wa nje(China na Western Powers)

Swali ni je ikiwa ikitokea hivyo, Magufuli anapatana na jirani zake(ukiondoa Burundi tu ambaye nae ni hoehae?)

Kenya n🇰🇪 ni 50/50, Rwanda 50/50 , Uganda 50/50, Zambia nako 50/50

Sasa ukienda kwa China na West.
Je China wanamuona Magufuli as asset or Liability?

Kwa Western Powers nadhani Jibu wote tunalijua.

It’s obvious Uchaguzi wa mwaka huu unaweza kuwa uchaguzi mgumu zaidi kuwai kutokea.

Ni Wapinzani/Chadema tu kuwa na ujasiri na kujipanga.
 
Mkuu acha kuzunguka mbuyu.....UNAMFAHAMU JECHA?
 
Hapo kwny "Ndio Magufuli ni raisi na amiri jeshi Mkuu ila October wakati wa kuhesabu kura anakuwa Sawasawa na wagombea woteee".

Hapo mzee baba unajidanganya big time,yule ni rais na mpk wkt huo security organs zote ziko chini yake na mafekeche watayafanya kama ilivyo ada yao.
 
Point no 1.Magufuli ni yule yule hapendi upinzani
Japo vipo vyama havitasimamisha mgombea uraisi

Pointi no.2.Systems zote ni za Raisi nae ndio anamamlaka juu yake.Ni wazi wanaunga juhudi za Magu,vinginevyo utaitwa msaliti.

Point no.3 Mahusiano yake na Foreign Powers na taasisi zake yanatia shaka kwa sababu haeleweki.

Point no.5 Wafanyakazi kwa ujumla hawana cha kushangilia.

Point no.4 CCM Asilia hawavumi lakini wamo ,ndio makada kama Membe wakichanganya na akina Kinana,na wakapata referee Kikwete wanaweza wakamwekea Magufuli pingamizi.
 
ccm inatawala kwa mabavu hakuna mtu mwenye akili timamu anashadadia ccm
 
Swali langu ni Je ikitokea mwenyekiti wa Tume akamtangaza mtu mwingine atamfanyaje??

Bora uombe lisitokee ndugu ila hapo hata hao unaosema ni vyombo vya dola wanaweza kuanza kukataa maelekezo na amri zako.



Tena usiombee ndo kuwe na shinikizo la kimata
ifa. Lilimkuta Jammeh wa Gambia na Gabgo wa Ivory Coast. Usiombee ndugu yangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…