Taarifasahihi
Senior Member
- May 24, 2019
- 170
- 157
H
Kumbuka hawa watu hawajafanya siasa kwa miaka mi4 sasa, kwa sababu tu wamezuiliwa. WaTz wanasikia habari za upande mmoja, ambazo kila MTU ameshazijua, na zishakuwa si habari tena.
Mwogope MTU anayejua la kuongea kuhusu ubaya wako ila umemfunga kitambaa mdoni, ukimfungua ni kama Bomu. Ndicho kitakachotokea kwenye kampeni za mwaka huu.
Halafu, wazungusha mikona safari hii wana mambo makubwa mengi ya kuwaeleza waTz.Sasaivi sidhani kama watakuwa na kazi kubwa maana mzungu ameonekana kuingia uwanjani. Statement za Ubalozi wa Marekani na Uingereza ni za kufikirisha sana.