Kupitia bila kupingwa ni mbegu mbaya kidemokrasia nchini.
Eneo ambalo mgombea atakuwa hana mpinzani,asitangazwe hadi uwepo ushindani zaidi ya mgombea mmoja
Wananchi wananyimwa haki za msingi kwa sheria mfu.
Hakunaga kupita bila kupigwa kwenye dunia ya ulimwengu wa tatu hayo ni mazingira tu watu huyatengeneza kwa gharama kubwa au hata kutoa uhai wa mtu. Katiba yetu mbovu na Sheria zetu mbovu ndio inapelekea yote hayo.
UKIFUATILIA HAKUNA HATA MMOJA ALIYEPITA BILA KUPIGWA KWANI NANI HAPENDI MSHAHARA MNONO WA UBUNGE ??
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.