RockCarnegie
JF-Expert Member
- Jan 17, 2019
- 963
- 1,927
- Thread starter
- #41
Kwa nini unajidanganya? Hebu nieleze.
Si ni hasara yangu kujidanya! Kwa nini unakereka!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa nini unajidanganya? Hebu nieleze.
Nimekuuliza swali tu, haimaanishi nimekereka.Si ni hasara yangu kujidanya! Kwa nini unakereka!
Hoja ni huyo jiwe wenu kaua uchumi alafu agenda ya ufisadi iko palepale lifisadi likubwa limerudi kwenu. Loahasahivi huko upinzani mna hoja gani inayowabeba mpaka sasa; hoja yenu kuu ya ufisadi mlishaiua na muasisi wake kawakimbia kwa sasa yuko upande mwingine.
Nani alikuambia wapigakura wa Tanzania huwa wanapiga kura kwa hoja?.
Wapigakura wa Tanzania, wanachagua tuu chama na kuchagua watu. 2020 ni CCM na rais ni Dr. John Pombe Magufuli, hana mpinzani na hana mshindani.
Paskali
Rejea
Kwa Kasi hii ya Magufuli, kuna haja Kufanya Uchaguzi wa ...
Je, Kasi ya Magufuli itaua Upinzani Uchwara na Kuimarisha ...
Jee Magufuli Anaimarisha CCM Au Anaua Upinzani?. Tunaelekea Nchi ya Chama Kimoja?.
Nini Mustakabali wa Upinzani TZ?
Swali la Ukweli Mchungu: Je, 2020 Magufuli ana mpinzani au mshindani, au Ni Magufuli tu?!.
CHADEMA mjitafakari msiwabeze wahamaji, wana hoja za ...
Je, CHADEMA inaweza kushinda 2020? Is it serious, credible
Hakuna mwenye akili timamu na ambae keshaumizwa atarudia kosa
Nani alikuambia wapigakura wa Tanzania huwa wanapiga kura kwa hoja?.
Wapigakura wa Tanzania, wanachagua tuu chama na kuchagua watu. 2020 ni CCM na rais ni Dr. John Pombe Magufuli, hana mpinzani na hana mshindani.
Paskali
Rejea
Kwa Kasi hii ya Magufuli, kuna haja Kufanya Uchaguzi wa ...
Je, Kasi ya Magufuli itaua Upinzani Uchwara na Kuimarisha ...
Jee Magufuli Anaimarisha CCM Au Anaua Upinzani?. Tunaelekea Nchi ya Chama Kimoja?.
Nini Mustakabali wa Upinzani TZ?
Swali la Ukweli Mchungu: Je, 2020 Magufuli ana mpinzani au mshindani, au Ni Magufuli tu?!.
CHADEMA mjitafakari msiwabeze wahamaji, wana hoja za ...
Je, CHADEMA inaweza kushinda 2020? Is it serious, credible ...
...Mungu ametupa uvumilivu, tuendelee kuvumilia hata kama tunaumia kiasi gani! Bila katiba mpya itakuwaje sasa mkuu?
hakuna kipindi ambacho maisha yamekua mazuri kama kipindi cha utawala wa rais wetu kipenzi jpm. nimeoa ktk utawala huu, nimesoma na kuhitimu chuo ktk utawala huu na ninaajira (lakini sipo serikalini). watu tunapiga pesa hatari na kila ninalo panga linajipa huwezi amini. biashara nishaanza kufungua biashara na inaenda vizuri sana
huku mtaani biashara kama kawaida, watu tushaanzisha ujenzi na pesa mgukoni bado ipo. hakuna mtu anaepiga kazi atakosa pesa mkuu usipotoshe watu, anaelalamika sasa hana hela wakati wa jk alikua na pesa? kama alikua nazo nini kimezipunguza toka kwake? nenda bar jioni ndio utajua km wewe ndo huna hela. watanzania tumesha mwelewa jpm nini anataka kuwafanyia watz, hivyo bila shaka yeyote tutakua nae hadi 2030
Dar es Salaam ndiyo jiji la kibiashara kuliko yote TZ! labda angalia utofauti wa ukusanyaji wa mapato kila mkoa, ni mkoa hupi unakusanya kingi kuliko yote then angalia na uko uliko!Kwa hoja hizo ni bora aseme anaijenga DSM pekee.Maana 97 % ya hayo yanafanyika DSM.Kwa hiyo amepata urais aijenge DSM?
Hiyo hoja mfu sijui mlikaririshwa na nani?Hivi;DSM inazalisha nini cha moja kwa moja zaidi ya kutegemea malighafi zote kutoka mikoa mingine?Zaidi ya kukusanya kodi,kitu ambacho mkoa wowote ungeweza,nini zaidi huzalishwa DSM?Ni kwa nini pajengwe sehemu moja tu?Huo ni udhaifu na kuangalia mambo kwa mazoea kama mlivyozoea.Dar es Salaam ndiyo jiji la kibiashara kuliko yote TZ! labda angalia utofauti wa ukusanyaji wa mapato kila mkoa, ni mkoa hupi unakusanya kingi kuliko yote then angalia na uko uliko!
Mbona mm sio mnufaikaji wa mfumo, kwa iyo kwa akili zako zoote ulotumia, mtu anaeendelea na life lake kama kawaida ni lazima awe mnufaikaji wa mfumo, haki nyumbu mna akili fupi sana.Wwe ni mnufaika wa mfumo yawezakuwa u mtoto wa Dada hivo kwako Kumteremko,kukaa bar ni hobby na sio kipimo cha MTU kuwa na hela,kama u mnufaika wa wizi na upigaji wa awamu hii yatakuwa vipi magumu.Mkulima wa korosho je,mwenye bureau de change je,kwa mda wa Miaka 3 sasa watu Milioni 2 wamekosa Kazi za moja kwa moja sababu ya maamuzi yasiyozingatia Sheria.
Nimekuuliza swali tu, haimaanishi nimekereka.
...Mungu ametupa uvumilivu, tuendelee kuvumilia hata kama tunaumia kiasi gani! Bila katiba mpya itakuwaje sasa mkuu?
hakuna kipindi ambacho maisha yamekua mazuri kama kipindi cha utawala wa rais wetu kipenzi jpm. nimeoa ktk utawala huu, nimesoma na kuhitimu chuo ktk utawala huu na ninaajira (lakini sipo serikalini). watu tunapiga pesa hatari na kila ninalo panga linajipa huwezi amini. biashara nishaanza kufungua biashara na inaenda vizuri sana
huku mtaani biashara kama kawaida, watu tushaanzisha ujenzi na pesa mgukoni bado ipo. hakuna mtu anaepiga kazi atakosa pesa mkuu usipotoshe watu, anaelalamika sasa hana hela wakati wa jk alikua na pesa? kama alikua nazo nini kimezipunguza toka kwake? nenda bar jioni ndio utajua km wewe ndo huna hela. watanzania tumesha mwelewa jpm nini anataka kuwafanyia watz, hivyo bila shaka yeyote tutakua nae hadi 2030
Haya , kama na wewe ni msomi hivi vyuo vikuu bora vifungwe. Haaaaaa haaaaa.hakuna kipindi ambacho maisha yamekua mazuri kama kipindi cha utawala wa rais wetu kipenzi jpm. nimeoa ktk utawala huu, nimesoma na kuhitimu chuo ktk utawala huu na ninaajira (lakini sipo serikalini). watu tunapiga pesa hatari na kila ninalo panga linajipa huwezi amini. biashara nishaanza kufungua biashara na inaenda vizuri sana