Tunahitaji kiongozi jasiri anayejiamini na mwenye uwezo wa kujenga na kujibu hoja ndani na nje kimataifa, anayesimama kama yeye asiyekamilishwa kwa vyombo vya dola,mwenye vision plan na direction ya kutuvusha,anayefanya mambo kwa mpangilio sie mvurugaji,anaechangamana na Makundi yote wawekezaji,wafanyakazi, wafanyabiashara, wakulima, anaeuzika kimataifa, mwenye public speaking confidence anaeweza toa shule watu wakaa chini wakatikisa vichwa,mwenye kukubali kupokea mawazo mapya na sio statics, asiye katili,mwenye utu,utulivu wa akili,anaeweza kuvumilia ukinzani changamoto,Mchumi anaeujua uchumi,atakaefata utawala wa Sheria kwa mujibu wa katiba, asiye na double standard. Tza bado ina Hazina tele ya Watu kama debate na mchujo ukifanyika