Uchaguzi 2020 Uchaguzi 2020: Tuambiane Ukweli tu, Tundu Lissu na Maalim Seif hakuna atakayekuwa Rais

Kama akina Kabila, Nkurunziza, Tshisekedi, wamekuwa Marais, sioni kwa nini Lissu hawezi kuwa Rais....!! Amewazidi mara 100.
 
Wanachama wa cdm waende angalau kwa viongozi wao wachache wenye akili na kujitambua. Mfano mh Mnyika wawaulize ushauri maana angalau wanaelewa kuhusu mila na desturi za siasa za Tanzania. Yuko kimya anajua ukweli wa hatima ya huyu mgombea wao ni kushindwa tu.
 
Ni chizi tu ndiye huongea maneno hayo
 
mMIMI NATAMBUA BILA SHAKA KABISA. LISU NA SHARRIF HAWATAWAH KUWA MARAIS TZ.


 
Sidhani kama kuna m mtu yupo tayari kuharibu kura yake kwa lisu,

Aliharibu chama cha mawakili tanganyika asipewe nafasi ya kuharibu nchi yetu.
Kura yangu nampa Lissu!
 

Lakin watashinda
 
Atakuambia wale wote ni wapiga dili ccm wanaishi kwa propaganda za mwaka 38
 
Na huo ndio ukweli mchungu kwa mashabiki wao. Umeongea ukweli mtupu ndugu yangu.
 
Utakua mpiga dili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…