Nichumu Nibebike
JF-Expert Member
- Aug 28, 2016
- 8,658
- 15,793
Kama tunavyojua kuwa 2020 Dr Shein atakuwa anafikia muhula wake wa mwisho wa uongozi visiwani Zbar, kinyang'anyiro cha kumpata mrithi wake kinaweza kikatawaliwa na 'wababe' hawa wawili yani Dr Mwinyi na Prof Mbarawa.
Sasa nimekuja kwenu wachambuzi wa maswala ya siasa mtoe uchambuzi wenu kuwa nani namba zinambeba na nani kati ya hawa wawili anaweza kuibuka kidedea?
Karibuni.
Prof. Mbarawa ni Presidential material! Tuwaspot na kuwagroom Presidential materials au tumwache tu yeyote awe?Prof Makame Mbarawa atakuwa Rais kwa sababu moja kuu anatokea Pemba ambako hawajawahi kutoa Rais wa SMZ. Hivyo Mbarawa atawaongezea CCM ushindi kuleni Kisiwani Pemba!
Pole mkuu. Nilikuwa nimekusahau. Wewe usiwe na wasi wasi, nafasi yako ipo. Wewe utapewa umakamu wa kwanza wa Rais...Umetumwa? Mitihani ya chuo umemaliza? Acha upuuzi dogo. Pigania maisha yako.
Mbona una vituko wewe, sasa huyu Shein anatoka wapi?.Mbarawa na shein wanatoka sehemu moja Pemba kama sijakosea basi wana ujamaaProf Makame Mbarawa atakuwa Rais kwa sababu moja kuu anatokea Pemba ambako hawajawahi kutoa Rais wa SMZ. Hivyo Mbarawa atawaongezea CCM ushindi kuleni Kisiwani Pemba!
Hajui Sheim ndio Rais wa kwanza wa Zanzibar mwenye asili ya Pemba. Na ilikuwa ni kimkakati . Siasa kuna watu wanazijua aiseeMbona una vituko wewe, sasa huyu Shein anatoka wapi?.Mbarawa na shein wanatoka sehemu moja Pemba kama sijakosea basi wana ujamaa
Mjomba. Kwa sasa yeyote anaweza kuwa, Hakuna tena Material tunaangalia sasa mazingira na hali halisi.
Dr SHEIN ni mpemba mkuuProf Makame Mbarawa atakuwa Rais kwa sababu moja kuu anatokea Pemba ambako hawajawahi kutoa Rais wa SMZ. Hivyo Mbarawa atawaongezea CCM ushindi kuleni Kisiwani Pemba!