Uchaguzi 2020 Uchaguzi 2020 Zanzibar: Prof. Mbarawa vs Dr. Mwinyi, nani namba zinambeba?

Shein anatokea Pemba!!! Acha zako!!

Prof Makame Mbarawa atakuwa Rais kwa sababu moja kuu anatokea Pemba ambako hawajawahi kutoa Rais wa SMZ. Hivyo Mbarawa atawaongezea CCM ushindi kuleni Kisiwani Pemba!
 
Mnaleta mambo ya LOwassa na Membe ambao walizungumzwa toka 2010 lakini Magu akaokota pochi kwenye maandamano.

Naamini Rais ajae wa Zenji atakuwa sio mmoja kati ya hao mnaowapigia debe
 
Mkulu anamkubali sana Mbarawa, na atakuwa kwenye akili yake kuhusu huko visiwani. Lakini Wazee ndani ya Chama mda mrefu sasa wanamuandaa Hussein.

Lakini ni jambo sensitive sana kuwalazimishia wavisiwani kiongozi. Unaweza ukatumia ushawishi wako kama unao mkubwa tena na akili nyingi maana mara nyingi wao huwa tayari wanakuwa na watu wao wanapendekeza au kuwakubali.

JK aliweza kuwatuliza akamuacha Gharib na kumpa Shein. Lakini ilibidi Gharib apozwe kwa umakamu wa Jamhuri ya Muungano.

Wangazija wananguvu sana, kuruhusu mpemba haikuwa kazi rahisi. JK gwiji wa siasa. Shikamoo huko uliko
Ule ulikuwa mkakati mkubwa sana kama jk angemuacha bilal bila kumpa umakamu na kumpitisha dr shein basi ni dhahiri dr shein asingeweza tawala kabisa huko visiwani.

Jk kutokana na ubobevu na ukomavu wake wa kisiasa ukichanganya na mbinu za medani vita alizonazo akaamua kumpa dr billal umakamu ili tu dr.shein atawale vizuri visiwani.

Dr. Billal we muone vile tu mpole lakini vitna siasa anaijua vizuri sana na anapendwa sana na wahafidhina wa ccm unguja.

Dr.H.A.Mwinyi hana mpinzani kabisa.
Wahafidhina wa ccm unguja hawatokubali mpemba mwingine aingie ikulu tena kwa kufuatana.
Itakuwa ni tusi kubwa sana kwa wahafidhina wanaojiita wanamapinduzi kindakindaki wa unguja.

Nami narejea tena jk ni mwamba wa siasa nchi hii

Shikamooo jk gwiji
Mzee maarufu
 
Aliyemleta shein na Bilal ni mtandao wa Lowassa!! Chaguo la JK lilikua Nahodha!! Inaonekana huzijui siasa
 
Prof Makame Mbarawa atakuwa Rais kwa sababu moja kuu anatokea Pemba ambako hawajawahi kutoa Rais wa SMZ. Hivyo Mbarawa atawaongezea CCM ushindi kuleni Kisiwani Pemba!
Shein ni Mpemba
 
Dr Sheini anatoka Pemba
 
Back
Top Bottom