Inside10
JF-Expert Member
- May 20, 2011
- 29,909
- 32,414
Shein anatokea pemba piaProf Makame Mbarawa atakuwa Rais kwa sababu moja kuu anatokea Pemba ambako hawajawahi kutoa Rais wa SMZ. Hivyo Mbarawa atawaongezea CCM ushindi kuleni Kisiwani Pemba!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shein anatokea pemba piaProf Makame Mbarawa atakuwa Rais kwa sababu moja kuu anatokea Pemba ambako hawajawahi kutoa Rais wa SMZ. Hivyo Mbarawa atawaongezea CCM ushindi kuleni Kisiwani Pemba!
Aliyemleta shein na Bilal ni mtandao wa Lowassa!! Chaguo la JK lilikua Nahodha!! Inaonekana huzijui siasa
Wasalaam, habari za chini chini zinaeleza kwamba kuna kundi la wanaccm wameweka mikakati kumpitisha bila kupingwa mh waziri mwinyi kugombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya ccm.
Kwa upande wa dr mwinyi, tetesi zinasema yeye binafsi hana mpango wa kugombea kiti hicho japo amekuwa akishawishiwa na watu wazito ndani ya ccm. Aidha kundi hilo lenye ushawishi mkubwa bara na visiwani limepanga kumshirikisha mzee mwinyi kama kiungo katika mchakato huo.
Tusubiri hiyo 2020 panapo uhai inshaallah Tetesi hizi zitapata majibu kamili
Siti ya Mbele halafu umeitumia kushangaashangaa tu bila mchango wowote.poor you 🤬
Mmoja tu namtakaMwinyi au Samia
YapKumbe professor mbarawa ni mzanzibar 😨😨😨
Rais wa Zanzibar anachaguliwa Dodo a Tena na Mwenyekiti wa Chama ambaye safari Hii ni JPM.Kama tunavyojua kuwa 2020 Dr Shein atakuwa anafikia muhula wake wa mwisho wa uongozi visiwani Zbar, kinyang'anyiro cha kumpata mrithi wake kinaweza kikatawaliwa na 'wababe' hawa wawili yani Dr Mwinyi na Prof Mbarawa.
Sasa nimekuja kwenu wachambuzi wa maswala ya siasa mtoe uchambuzi wenu kuwa nani namba zinambeba na nani kati ya hawa wawili anaweza kuibuka kidedea?
Karibuni.
Rais wa Zanzibar ni wa kuteuliwa na CCM pale dodoma. Kura za wananchi ni geresha tu hata hazihesabiwi.Mwanamke hawezi kuwa rais Zanzibar, kumbuka waislamu hawaamini kuongozwa na mwanamke
Sent using Jamii Forums mobile app
Prof Makame Mbarawa atakuwa Rais kwa sababu moja kuu anatokea Pemba ambako hawajawahi kutoa Rais wa SMZ. Hivyo Mbarawa atawaongezea CCM ushindi kuleni Kisiwani Pemba!