Kindeena
JF-Expert Member
- Sep 27, 2017
- 11,462
- 21,124
Umetumwa? Mitihani ya chuo umemaliza? Acha upuuzi dogo. Pigania maisha yako.
Mbona povu mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umetumwa? Mitihani ya chuo umemaliza? Acha upuuzi dogo. Pigania maisha yako.
Mbona Rais wa sasa (Shein) ni MpembaProf Makame Mbarawa atakuwa Rais kwa sababu moja kuu anatokea Pemba ambako hawajawahi kutoa Rais wa SMZ. Hivyo Mbarawa atawaongezea CCM ushindi kuleni Kisiwani Pemba!
Kwa tanzania sio rahisi huyo mwinyi aje kuwa rais wa Tanzania,hatuna hayo mambo ya kurithishana kutoka kwa baba kwenda kwa mwana.na ukiwa hivyo kutakuwa na misuguano sana hata ndani ya chama.Rais wa Zanzibar anachaguliwa Dodo a Tena na Mwenyekiti wa Chama ambaye safari Hii ni JPM.
Very possible Samia ataukwaa Urais ZNZ the Mwinyi atakuwa Vice President TZ.
Si kweli ingekuwa hivyo Mama Samia asingepata ushirikiano mkubwa na heshima katika Serikali ya Muungano na akisimamia masuala ya muungano.Mwanamke hawezi kuwa rais Zanzibar, kumbuka waislamu hawaamini kuongozwa na mwanamke
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijasema Mwinyi atakuwa Rais wa TZ bali Makamu.Kwa tanzania sio rahisi huyo mwinyi aje kuwa rais wa Tanzania,hatuna hayo mambo ya kurithishana kutoka kwa baba kwenda kwa mwana.na ukiwa hivyo kutakuwa na misuguano sana hata ndani ya chama.
Na samia sio rahisi kuwa rais wa zanzibar sababu ni mwanamke
Acha bana,mbona Shein naye anatokea Pemba mkuu??Prof Makame Mbarawa atakuwa Rais kwa sababu moja kuu anatokea Pemba ambako hawajawahi kutoa Rais wa SMZ. Hivyo Mbarawa atawaongezea CCM ushindi kuleni Kisiwani Pemba!
Nahodha atasubiri sana labda figisu zitumikeShamsi Vuai Nahodha nae anafukuza Mwizi Kimya kimya
Mbarawa Ni Mpemba hivyo kwa Wahafidhina wa Unguja wanamuona Kama Hizbu
Shein Mwenyewe alipita kwa ujanja Na kona kona Za Mkwere 2010 ili kuvunja Mwiko wa Mpemba Kuwa hawezi Kuwa Rais wa Znz
Prof Makame Mbarawa atakuwa Rais kwa sababu moja kuu anatokea Pemba ambako hawajawahi kutoa Rais wa SMZ. Hivyo Mbarawa atawaongezea CCM ushindi kuleni Kisiwani Pemba!
si kweli Dr Shein anatokea pembaProf Makame Mbarawa atakuwa Rais kwa sababu moja kuu anatokea Pemba ambako hawajawahi kutoa Rais wa SMZ. Hivyo Mbarawa atawaongezea CCM ushindi kuleni Kisiwani Pemba!
Zamu ya Mwanamke, ni nani ? kwa Leo tuliweke kwenye mabanano ( ..) muda utaongea. Mark my words. Tukutane 2020Kama tunavyojua kuwa 2020 Dr Shein atakuwa anafikia muhula wake wa mwisho wa uongozi visiwani Zbar, kinyang'anyiro cha kumpata mrithi wake kinaweza kikatawaliwa na 'wababe' hawa wawili yani Dr Mwinyi na Prof Mbarawa.
Sasa nimekuja kwenu wachambuzi wa maswala ya siasa mtoe uchambuzi wenu kuwa nani namba zinambeba na nani kati ya hawa wawili anaweza kuibuka kidedea?
Karibuni.
Zanzibar haitakaa ipewe rais mwenye makeke ya utendaji. Atatusumbua.Tume ya uchaguzi inaamua nani awe rais.
Kwa maoni yangu Mbarawa ni mtendaji mzuri sana ila kama tunazungumzia urais, Mwinyi anaweza kufaa japo hajafanya kitu cha kuonekana kumbeba kiasi kikubwa zaidi ya kuwa mkimya na mtulivu.
Kama tunavyojua kuwa 2020 Dr Shein atakuwa anafikia muhula wake wa mwisho wa uongozi visiwani Zbar, kinyang'anyiro cha kumpata mrithi wake kinaweza kikatawaliwa na 'wababe' hawa wawili yani Dr Mwinyi na Prof Mbarawa.
Sasa nimekuja kwenu wachambuzi wa maswala ya siasa mtoe uchambuzi wenu kuwa nani namba zinambeba na nani kati ya hawa wawili anaweza kuibuka kidedea?
Karibuni.
Familia ya karume imeshatiwa doa na shangazi. Ali Karume havuki fitina za pale Dodoma. Hili koloni ipo siku tutawateuliwa gavana mtanganyika kabisa.ali karume
Mwinyi ana busara na hekima sana,sijui ya sirini.Sijawahi kusikia kashfa yeyote inayomhusika,sijamsikia akipayuka,sijawahi kusikia kwamba ni fisadi,oh my,he is just too good.Wanzanzibari Dr.Mwinyi should be there choice in 2020.Dr Mwinyi namba zake zinasomeka vizuri
Umemaliza bro.Tujadili mengine siyo unafiki kuchagua gavana wa Zanzibar.Familia ya karume imeshatiwa doa na shangazi. Ali Karume havuki fitina za pale Dodoma. Hili koloni ipo siku tutawateuliwa gavana mtanganyika kabisa.
Zanzibar haihitaji rais(gavana) mchapa kazi, bali mtiifu, msikivu, na anayeweza kuendesha siasa za kibaguzi.Mwinyi ana busara na hekima sana,sijui ya sirini.Sijawahi kusikia kashfa yeyote inayomhusika,sijamsikia akipayuka,sijawahi kusikia kwamba ni fisadi,oh my,he is just too good.Wanzanzibari Dr.Mwinyi should be there choice in 2020.
Kwani Mohammed Shein anatoka wapi? Usionge kitu usichokijuaa, MkuuProf Makame Mbarawa atakuwa Rais kwa sababu moja kuu anatokea Pemba ambako hawajawahi kutoa Rais wa SMZ. Hivyo Mbarawa atawaongezea CCM ushindi kuleni Kisiwani Pemba!