Consultant
JF-Expert Member
- Jun 15, 2008
- 11,503
- 20,892
Mama Samia yeye vipi? Jiwe anaweza "kumpandikiza" kule
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
This is nonsense.Zanzibar haihitaji rais(gavana) mchapa kazi, bali mtiifu, msikivu, na anayeweza kuendesha siasa za kibaguzi.
Shein pemba chokocho ipo mkoaniMbona una vituko wewe, sasa huyu Shein anatoka wapi?.Mbarawa na shein wanatoka sehemu moja Pemba kama sijakosea basi wana ujamaa
Wote hpo hakuna presidential materials...tutapata sura mpya, usishangae hata balozi karume akawemo.
Dr.Shein Rais wa sasa mbona katoka huko visiwa vya PembaProf Makame Mbarawa atakuwa Rais kwa sababu moja kuu anatokea Pemba ambako hawajawahi kutoa Rais wa SMZ. Hivyo Mbarawa atawaongezea CCM ushindi kuleni Kisiwani Pemba!
Siasa za Zanzibar ni za kipekee...subirini muone suprise...Mbarawa si rahisi kuwa rais zanzibar coz ni Mpemba so ni ngumu kuwafuatanisha wapemba mfululizo (Shein n Mbarawa), Samia hawezi kupewa coz ni mwanamke (atapingwa na hata masheikh wakubwa visiwani) labda wafosi, Hussein Mwinyi pia ni Ngumu kwa sababu kuna fununu kuwa hakuzaliwa Zanzibar (alizaliwa Misri) na kwa mujibu wa katiba ya Zanzibar ili uwe rais wa Zanzibar ni lazima uwe Mzanzibari wa kuzaliwa.
Toka lini mwinyi akawa mu unguja??
Politics is game of chance bro! Hata kikwete hakutakiwa kuwa rais baada ya mkapa ,raid alitakiwa atoke zanzibarSiasa za Zanzibar ni za kipekee...subirini muone suprise...Mbarawa si rahisi kuwa rais zanzibar coz ni Mpemba so ni ngumu kuwafuatanisha wapemba mfululizo (Shein n Mbarawa), Samia hawezi kupewa coz ni mwanamke (atapingwa na hata masheikh wakubwa visiwani) labda wafosi, Hussein Mwinyi pia ni Ngumu kwa sababu kuna fununu kuwa hakuzaliwa Zanzibar (alizaliwa Misri) na kwa mujibu wa katiba ya Zanzibar ili uwe rais wa Zanzibar ni lazima uwe Mzanzibari wa kuzaliwa.
Prof Makame Mbarawa atakuwa Rais kwa sababu moja kuu anatokea Pemba ambako hawajawahi kutoa Rais wa SMZ. Hivyo Mbarawa atawaongezea CCM ushindi kuleni Kisiwani Pemba!
Siasa za Zanzibar ni za kipekee...subirini muone suprise...Mbarawa si rahisi kuwa rais zanzibar coz ni Mpemba so ni ngumu kuwafuatanisha wapemba mfululizo (Shein n Mbarawa), Samia hawezi kupewa coz ni mwanamke (atapingwa na hata masheikh wakubwa visiwani) labda wafosi, Hussein Mwinyi pia ni Ngumu kwa sababu kuna fununu kuwa hakuzaliwa Zanzibar (alizaliwa Misri) na kwa mujibu wa katiba ya Zanzibar ili uwe rais wa Zanzibar ni lazima uwe Mzanzibari wa kuzaliwa.
Dr Shein mbona ni Mpemba ?Prof Makame Mbarawa atakuwa Rais kwa sababu moja kuu anatokea Pemba ambako hawajawahi kutoa Rais wa SMZ. Hivyo Mbarawa atawaongezea CCM ushindi kuleni Kisiwani Pemba!
TAIFA TAWALIWA MWINYI KZALIWA IKULU BADO TU MNATAKA KUMPA URAIS WAKATI WEEW UMEZALIWA HUKO NAMANYERE HUJUI HATA CHOO CHA KUKAA, pumbaf sana CCM,Kama tunavyojua kuwa 2020 Dr Shein atakuwa anafikia muhula wake wa mwisho wa uongozi visiwani Zbar, kinyang'anyiro cha kumpata mrithi wake kinaweza kikatawaliwa na 'wababe' hawa wawili yani Dr Mwinyi na Prof Mbarawa.
Sasa nimekuja kwenu wachambuzi wa maswala ya siasa mtoe uchambuzi wenu kuwa nani namba zinambeba na nani kati ya hawa wawili anaweza kuibuka kidedea?
Karibuni.
Kwani Dr. Shein wa wapi? Sio Pemba?Prof Makame Mbarawa atakuwa Rais kwa sababu moja kuu anatokea Pemba ambako hawajawahi kutoa Rais wa SMZ. Hivyo Mbarawa atawaongezea CCM ushindi kuleni Kisiwani Pemba!
Mzee Mwinyi alikula shavu enzi hizo wakati Wanasiasa wa CCM Zanzibar Bado hawajaamka kisiasa...Lakini sasa hivi kuna wazanzibari wengi ambao ni wanasiasa wazuri tuMbona Al Haji Ally Hassan Mwinyi ni mzaliwa wa Kisarawe