Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
Eti maridhiano. Acheni utapeli.
Mtu anatolewa jela usiku usiku. Anaenda Ikulu na kuna fanyika makubaliano kuwa fanya hivi ili Mapebari wajue kuna demokrasia hapa Tanganyika. Alafu eti tutawapa nafasi za wabunge.
Huu mkataba ni kati ya Mbowe na CCM sio kati ya Chadema na wananchi.
Makamanda wenzangu msidhani yaliyotokea mwak 2010 kwenye uchaguzi yatarudia 2025.