Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
Kuna kitu hakiko sawa kichwani Kwa Mbowe. Amini nawaambia!! Pengine lile gorofa ndo mkataba wenyewe wa kukiua chama!!Eti maridhiano. Acheni utapeli.
Mtu anatolewa jela usiku usiku. Anaenda Ikulu na kuna fanyika makubaliano kuwa fanya hivi ili Mapebari wajue kuna demokrasia hapa Tanganyika. Alafu eti tutawapa nafasi za wabunge.
Huu mkataba ni kati ya Mbowe na CCM sio kati ya Chadema na wananchi.
Makamanda wenzangu msidhani yaliyotokea mwak 2010 kwenye uchaguzi yatarudia 2025.
kwenye kampeni na uchaguzi, hua hakuna mzaha, hakuna kuona haya, hakuna kutegea, wala lelemama kwenye kujizatiti kushika dollar, kuunda serikali na kuongoza nchi. Lazma kua serious kwenye jambo hili.....Eti maridhiano. Acheni utapeli.
Mtu anatolewa jela usiku usiku. Anaenda Ikulu na kuna fanyika makubaliano kuwa fanya hivi ili Mapebari wajue kuna demokrasia hapa Tanganyika. Alafu eti tutawapa nafasi za wabunge.
Huu mkataba ni kati ya Mbowe na CCM sio kati ya Chadema na wananchi.
Makamanda wenzangu msidhani yaliyotokea mwak 2010 kwenye uchaguzi yatarudia 2025.
Umekimbia dose milembe Chadema ulifukuzwa kitambo huko CCM hakukutoshi bwana mrambinakoEti maridhiano. Acheni utapeli.
Mtu anatolewa jela usiku usiku. Anaenda Ikulu na kuna fanyika makubaliano kuwa fanya hivi ili Mapebari wajue kuna demokrasia hapa Tanganyika. Alafu eti tutawapa nafasi za wabunge.
Huu mkataba ni kati ya Mbowe na CCM sio kati ya Chadema na wananchi.
Makamanda wenzangu msidhani yaliyotokea mwak 2010 kwenye uchaguzi yatarudia 2025.
Hawezi kustaafu. Kuna chawa wanampamba kuwa hao kina Lissu watanunuliwa na ccm, eti mbowe tu ndiye hana bei.Mbowe angestaafu aachie damu changa. Lissu au Heche watatufaa. Labda Kama anataka kukihujumu chama kwa kuleta migogoro ya Kiongozi. Afate nyayo za watangulizi wake.
NakupuuzaYaani alfajiri na mapema unaanzisha uzi wa kindezi mumeo umeshampa tunda "morning glory" acha hizo bibie.
Sawa.Eti maridhiano. Acheni utapeli.
Mtu anatolewa jela usiku usiku. Anaenda Ikulu na kuna fanyika makubaliano kuwa fanya hivi ili Mapebari wajue kuna demokrasia hapa Tanganyika. Alafu eti tutawapa nafasi za wabunge.
Huu mkataba ni kati ya Mbowe na CCM sio kati ya Chadema na wananchi.
Makamanda wenzangu msidhani yaliyotokea mwak 2010 kwenye uchaguzi yatarudia 2025.
UWT wakipata vocha huwa ni wakorofi snYaani alfajiri na mapema unaanzisha uzi wa kindezi mumeo umeshampa tunda "morning glory" acha hizo bibie.
Wewe ni mganga njaa tu.Eti maridhiano. Acheni utapeli.