Uchaguzi 2025 rais Samia hana mpinzani. Je, Chadema hii inafaa kuww na wabunge hata wa huruma?

Uchaguzi 2025 rais Samia hana mpinzani. Je, Chadema hii inafaa kuww na wabunge hata wa huruma?

Chagu wa Malunde

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Posts
8,734
Reaction score
5,750
Chadema inahitaji huruma kutoka kwa wananchi. Je, inastahili kuhurumiwa?

Kuhurumiwa na wanachi ili ipate wabunge na wao wapate pesa za kula na kujikimu. Ila sio kutatua kero za wananchi.

Chadema wamekubali kuwa rais Samia anastahili na anafaa kuwa rais.

Sasa wanataka nini zaidi ya huruma ya wananchi ili wapate viti vya ubunge na pesa za kujikimu.
 
Nakuhakikishi ndani ya uchaguzi wa haki na huru CDM itakuwa na wabunge wengi karibu nusu au zaidi ya CCM.
Muda ni mwalimu mzuri sana, nimekaa pale nakunywa kahawa👉
 
Back
Top Bottom