Malata Junior
JF-Expert Member
- Nov 29, 2011
- 3,108
- 2,553
Muundo na utaratibu wa Uchaguzi Tz unahitaji mabadiriko makubwa, ili kufanikisha kuwa na uchaguzi HURU na HAKI.Tanzania kuendesha uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu kwa pamoja,yaani tuchague Rais,mbunge,diwani,mwenyekiti wa mtaa/Kijiji na mwenyekiti wa kitongoji.Ikiwezekana pia wabunge wa viti maalumu tuwachague sisi WANANCHI badala ya kuteuliwa na vyama.Kama Kenya wameweza kupiga kura 6 kumchagua
Pagumu sn hapoHilo ni jambo ambalo ni zuri sana.Pia taratibu zingine za uchaguzi zibadilishwe uchaguzi uwe wazi,huru na wa haki.
Uwachague viti maalum kwenda kumwakilisha nani?! Hopeless kabisa wewe.Ikiwezekana pia wabunge wa viti maalumu tuwachague sisi WANANCHI badala ya kuteuliwa na vyama.Kama Kenya wameweza kupiga kura 6 kumchagua Rais, Gavana, Seneta, mbunge na mwakilishi wa wanawake kwa nini sisi tushindwe?